Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
UWT bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umsolopogas!CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Sawa Cde. Chama kwanza.Achana na wazushi hao😀😀
💯Fear of the unknown
View attachment 3205989
Mr presidentFear of the unknown
View attachment 3205989
Hakuna kitakachoachwaHamna kitu. Chukueni na covid19 wenu mwende nao
Hivi ndivyo itakavyokuwaCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Toa ahadi akipita upakuliwe taqoHuyu hawezi kupita hata kwa dawa.
Vipi umeshajifukiza kama kawaida yako.UWT bhana
Na hiki wanachopitisha ndio kitaleta pigo hilo!CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Ona sasa mr tahira unavyo kufuru. Tumia akili hata zokiwa ndogo zitumie vzrCCM haina Mwisho.
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura. Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu MwenyeweNa hiki wanachopitisha ndio kitaleta pigo hilo!
Hatari sana hiiNaifahamu kabla wewe hujazaliwa. Wewe unaijua kwa uchawa mitandaoni mimi naifahamu kindakindani na ndiyo maana naichukia. Wewe ni mshamba na kapuku tu.
Nilikuona kwenye tv DomVipi umeshajifukiza kama kawaida yako.
Hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho, hata tamu hukinai,ngoma ikilia sana hupasuka, hiyo yote ni misemo ya wahenga sasa wewe mliwa ule endelea kujifalijiNdugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwisho wa CCM ni pale DUNIA itakapofikia Mwisho.Hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho, hata tamu hukinai,ngoma ikilia sana hupasuka, hiyo yote ni misemo ya wahenga sasa wewe mliwa ule endelea kujifaliji
Kuna Nyumbu wanahamia CCM bila shaka kutoka CDMNdugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni kweli hata mimi najua hilo kwamba Raise ni yeye kama akiruka viunzi vyote!!Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura. Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe