Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 20, 2025 #161 CHIEF PRIEST said: Alivaa dera la kijani na ushungi wa njano alikuwa anakata mauno ya uzazi kabisa. Click to expand... UWT jana walifurahi sn
CHIEF PRIEST said: Alivaa dera la kijani na ushungi wa njano alikuwa anakata mauno ya uzazi kabisa. Click to expand... UWT jana walifurahi sn
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jan 20, 2025 Thread starter #162 Benjamini Netanyahu said: UWT jana walifurahi sn Click to expand... Kwani wewe hukufurahi pamoja na kwamba huna akili?
Benjamini Netanyahu said: UWT jana walifurahi sn Click to expand... Kwani wewe hukufurahi pamoja na kwamba huna akili?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 20, 2025 #163 Lucas Mwashambwa said: Kwani wewe hukufurahi pamoja na kwamba huna akili? Click to expand... Mkuu jana nilikuona kwenye tv ulikuwa unaruka haswa
Lucas Mwashambwa said: Kwani wewe hukufurahi pamoja na kwamba huna akili? Click to expand... Mkuu jana nilikuona kwenye tv ulikuwa unaruka haswa
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jan 20, 2025 Thread starter #164 Benjamini Netanyahu said: Mkuu jana nilikuona kwenye tv ulikuwa unaruka haswa Click to expand... Unaweza ukapata wapi muda wa kuangalia Tv wakati muda wote unakuwa lessi kichwani.
Benjamini Netanyahu said: Mkuu jana nilikuona kwenye tv ulikuwa unaruka haswa Click to expand... Unaweza ukapata wapi muda wa kuangalia Tv wakati muda wote unakuwa lessi kichwani.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 20, 2025 #165 Lucas Mwashambwa said: Unaweza ukapata wapi muda wa kuangalia Tv wakati muda wote unakuwa lessi kichwani. Click to expand... Hivi kumbe na VEO's huwa ni wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM au ni wewe pekee ulikuwa unawakilisha VEO's? Nilifurahi sn kukuona Dom kwenye mkutano wa CCM. Hongera sn
Lucas Mwashambwa said: Unaweza ukapata wapi muda wa kuangalia Tv wakati muda wote unakuwa lessi kichwani. Click to expand... Hivi kumbe na VEO's huwa ni wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM au ni wewe pekee ulikuwa unawakilisha VEO's? Nilifurahi sn kukuona Dom kwenye mkutano wa CCM. Hongera sn
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jan 20, 2025 #166 Wamekusahau wewe tu kwenye uteuzi!