Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
UWT jana walifurahi snAlivaa dera la kijani na ushungi wa njano alikuwa anakata mauno ya uzazi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWT jana walifurahi snAlivaa dera la kijani na ushungi wa njano alikuwa anakata mauno ya uzazi kabisa.
Kwani wewe hukufurahi pamoja na kwamba huna akili?UWT jana walifurahi sn
Mkuu jana nilikuona kwenye tv ulikuwa unaruka haswaKwani wewe hukufurahi pamoja na kwamba huna akili?
Unaweza ukapata wapi muda wa kuangalia Tv wakati muda wote unakuwa lessi kichwani.Mkuu jana nilikuona kwenye tv ulikuwa unaruka haswa
Hivi kumbe na VEO's huwa ni wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM au ni wewe pekee ulikuwa unawakilisha VEO's? Nilifurahi sn kukuona Dom kwenye mkutano wa CCM. Hongera snUnaweza ukapata wapi muda wa kuangalia Tv wakati muda wote unakuwa lessi kichwani.