Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Sijui Mwashambwa kapatwa na niniUsijidanganye wewe!Unachekesha sana sana.Wanafuata hela na uongozi/ajira.Hakuna mwenye akili asiyejua hilo.Acha vichekesho vikavu kama makewe/matobholwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Mwashambwa kapatwa na niniUsijidanganye wewe!Unachekesha sana sana.Wanafuata hela na uongozi/ajira.Hakuna mwenye akili asiyejua hilo.Acha vichekesho vikavu kama makewe/matobholwa.
Kubwa jingaMwisho wa CCM ni pale DUNIA itakapofikia Mwisho.
Mimi nawaambieni ukweli tu.Sijui Mwashambwa kapatwa na nini
Usicho kijua ni kwamba ccm haishindi kwa kura za wananchiYaani CCM wangejiongeza maana bi kizimkazi hawezi kumkabiri TL . Ataomba poo .
Mama kakufikia wewe mjinga. Baba Yako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Hakuna mtu ana akili timamu anaweza kuwa anaandika hivi katika nchi masikini ya mwisho Duniani. Mtaji wa matapeli ni wajinga kama wewe. Jiandae Tayar mungu anakuchukua muda si mrefu. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unajua nini wewe ni kibaka tu,hamtaamini macho na masikio yenu.Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura. Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Soon atakuwa DASHivi upendo peneza kalamba teuzi yoyote
Ova
Rais Samia kwa sasa anasubiri kuapishwa tu.Unajua nini wewe ni kibaka tu,hamtaamini macho na masikio yenu.
Wewe ni mtoto sana endelea kupiga vigelegele na kukata mauno kuwaburudisha wajumbe.Rais Samia kwa sasa anasubiri kuapishwa tu.
Mwaka huu lazima uwehuke tuWewe ni mtoto sana endelea kupiga vigelegele na kukata mauno kuwaburudisha wajumbe.
Utawehuka wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa mbwiga weweMwaka huu lazima uwehuke tu
Mimi ni Mkulima dogo.Utawehuka wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa mbwiga wewe
Naona wafuasi wa Lissu mmekabwa koo mpaka mnashindwa kupumua.Mbowe si ahamie kabisa huko ijulikane tu
Si wana. Dola mzee, polisi mali yao, tume yao na wasimamizi wakuu na wakurugenzi kila wilaya wa kwao. sasa unategemea washindwe ..?Yaani CCM wangejiongeza maana bi kizimkazi hawezi kumkabiri TL . Ataomba poo .
Alivaa dera la kijani na ushungi wa njano alikuwa anakata mauno ya uzazi kabisa.Nilikuona kwenye tv Dom
Hamna ukweli unaoujua wewe zaidi ya kujua jf ni platformMimi nawaambieni ukweli tu.
Wewe ni chawa tu tena omba omba unatembeza bakuli hum kila siku.Mimi ni Mkulima dogo.