Vipi ndugu utakuwa timu sifia sifia wewe. Kwa dini yenu hiyo sasa utakuwa umekumbuka shuka asubuhi. BIla shaka hatimaye umechukua points kumpelekea mmeo.
CHADEMA ndio chama kikuu na ndio kinategemewa kuleta mapinduzi ya mfumo wa kiutawala kupitia KATIBA mpya pia ni chama pekee kinachotarajiwa kuongoza nchi hii ni lazima wawe makini na kujifunza mambo mengi