The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Siungi mkono na sijawahi kuipenda CCM..
Lakini yapo machache ya kujifunza toka kwao...
Wanailinda taasisi yao kwa nguvu sana bila kujali kwa kufanya hivyo wanakuwa sahihi au la...
Wamekula kichwa cha Dr Emmanuel Nchimbi.
Hawajaangalia alikuwa ni nani au ni maarufu kwa kiwango gani..
Kwao ni taasisi kwanza, mtu mmoja mmoja anafuata..
Msisubiri kuja kujenga ukuta badala ya kuziba nyufa sasa. That will be too expensive for you...!
Fukuza wajinga na wapumbavu wote wanaojiona ni wakubwa kuliko taasisi...
Kina Lembrose Mchome, Saidi Issa Mohamed, hata Freeman Mbowe wanasubiri nini ndani ya chama kwa kauli na matendo yao..?
Wanakiuka maadili mchana kweupe mnawaangalia tu..?
Mnamwogopa Jaji Mutungi au Sisty Nyahoza kuwa wataenda kusema huko..?
No!....... Stop that nonsense. Chukueni hatua. Huu si wakati wa kubembelezana..
Muhimu ni kufuata taratibu za kikatiba kufukuza mwanachama yeyote mjinga mjinga na mpumbavu Ili akitafuta mwanya au mlango wa kutokea huko mbeleni wa "hawakufuata taratibu za kikatiba" au "sikupata haki yangu ya 'natural justice' ya kujitetea", wakose mlango huo..!
From there, you will be safe na hata Sisty Nyahoza hatapata upenyo wa kuwaingilia kuwaokoa hayawani hao..!
Kwa hili Jifunzeni toka CCM. Hawana cha msalia mtume...!!
Lakini yapo machache ya kujifunza toka kwao...
Wanailinda taasisi yao kwa nguvu sana bila kujali kwa kufanya hivyo wanakuwa sahihi au la...
Wamekula kichwa cha Dr Emmanuel Nchimbi.
Hawajaangalia alikuwa ni nani au ni maarufu kwa kiwango gani..
Kwao ni taasisi kwanza, mtu mmoja mmoja anafuata..
KWENU CHADEMA:
Mnachezewa sana na baadhi ya wanachama wenu. Wengine wakiwa ni viongozi lakini kwa makusudi kabisa kwa kauli na matendo yao wana tarnish image ya chama kwa njaa na tamaa zao tu...Msisubiri kuja kujenga ukuta badala ya kuziba nyufa sasa. That will be too expensive for you...!