Kwani Tanzania hakuna Uhamiaji? Kazi ya Uhamiaji ni nini? Polisiccm wanahusikaje na mambo ya uhamiaji? au polisiccm wapo juu ya sheria wanafanya chochote wakijisikia kufanya?Afadhali roho yangu imetulia, kwahiyo Dodoma ndio imekuwa mpakani mwa Tanzania na Kenya?🤔
Hii itakuwa ni kutafuta hali ya kuwatia wahusika hasira , ili wachujue Sheria mkononi, ili jamii iwaone ni wahuni, na wale wengine sio wahuniIla Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa!
Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao!
Acheni huo ushamba wenu mnaendelea kujichafua zaidi
================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Makamu Mwenyekiti Taifa, Mhe. John Heche anashikiliwa kwenye mahabusu ya Jeshi la Polisi Mtumba, jijini Dodoma.
Mheshimiwa Heche leo Ijumaa, tarehe 24 Oktoba, 2025 alihofiwa na Idara ya Uhamiaji mbele ya Wakili wa Chama na Kaka yake akituhumiwa kuvunja Sheria za Uhamiaji kwa kile walichosema alivuka mpaka wa Tanzania na kuingia nchini Kenya bila kufuata taratibu.
Pamoja na kosa hilo alilotajwa ambalo lina dhamana, Jeshi la Polisi limekataa kumpa dhamana likisema kuwa kuna maelekezo kutoka juu kuwa aendelee kushikiliwa mahabusu.
Mhe. Heche alikamatwa na Jeshi la Polisi juzi Jumatano kwenye geti la Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), Dar es Salaam kisha jeshi hilo linasemekana linasafirisha kumpeleka Polisi Tarime mkoani Mara.
Soma Pia:
Kuendelea kumshikilia Mhe. Heche kinyume cha Sheria ni muendelezo wa mpango wa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia kuwakamata viongozi wakuu wa Chama na kuwaweka kizuizini mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.
- Mnyika: Nimedokezwa na ofisa wa Polisi kuwa John Heche yupo Dodoma
- John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu
Tunamtaka Rais Samia aache kuvutia vibaya vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwakamata na kuwaweka kizuizini washindani wake wa siasa.
View attachment 3493139
Kawekwa huko kwa kosa gani?Nipo hapa mtumba kesho naenda kumuona
Akili za GenZ hizi? Kwahiyo hujui hata majukumu ya polisi? AiseeKosa la uhamiaji iweje akamatwe na Polisiccm?? Hao Polisiccm wanahusikaje na masuala ya Uhamiajiccm? Kesi ya uhamiaji ni kesi ya watu wa uhamiaji iweje polisiccm wanaingia huko? Huo ni uonevu na manyanyaso ya kijinga sana
EEEeeeenHEEEEEeeee!Afadhali roho yangu imetulia, kwahiyo Dodoma ndio imekuwa mpakani mwa Tanzania na Kenya?🤔
Sio tu kwamba hakuendeki, Bali wamepiga mahesabu ya ile kauli na ultimatum kwamba Ndugu wa Heche watawaomba wananchi waende kumsaka huko vituoni polisi- na hapo ndipo moto ungewaka maana wanajua kwamba watu wa maeneo ya Tarime wao wakiitwaga na viongozi wao ni lazima watokee na vijana wao huifanya hiyo kazi kitakatifu. Vita ni vita, wakifa Kwa kumtetea mwenzao aliyepotelea kwenye vyombo vya dola, itakuwa ni ishujaa mkubwa - ndio fahari yao hiyo.Nadhani wametafakari wakaona Mara hakuendeki
Lawlessness at best! Hao mazafakas wamepata wapi authority ya kumshilikilia mtu kwa muda wote huo bila kumfikisha mahakamani?Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa!
Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao!
Acheni huo ushamba wenu mnaendelea kujichafua zaidi
================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Makamu Mwenyekiti Taifa, Mhe. John Heche anashikiliwa kwenye mahabusu ya Jeshi la Polisi Mtumba, jijini Dodoma.
Mheshimiwa Heche leo Ijumaa, tarehe 24 Oktoba, 2025 alihofiwa na Idara ya Uhamiaji mbele ya Wakili wa Chama na Kaka yake akituhumiwa kuvunja Sheria za Uhamiaji kwa kile walichosema alivuka mpaka wa Tanzania na kuingia nchini Kenya bila kufuata taratibu.
Pamoja na kosa hilo alilotajwa ambalo lina dhamana, Jeshi la Polisi limekataa kumpa dhamana likisema kuwa kuna maelekezo kutoka juu kuwa aendelee kushikiliwa mahabusu.
Mhe. Heche alikamatwa na Jeshi la Polisi juzi Jumatano kwenye geti la Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), Dar es Salaam kisha jeshi hilo linasemekana linasafirisha kumpeleka Polisi Tarime mkoani Mara.
Soma Pia:
Kuendelea kumshikilia Mhe. Heche kinyume cha Sheria ni muendelezo wa mpango wa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia kuwakamata viongozi wakuu wa Chama na kuwaweka kizuizini mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.
- Mnyika: Nimedokezwa na ofisa wa Polisi kuwa John Heche yupo Dodoma
- John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu
Tunamtaka Rais Samia aache kuvutia vibaya vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwakamata na kuwaweka kizuizini washindani wake wa siasa.
View attachment 3493139
Polisi wote matakoo yenu in Sugu voiceIla Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa!