Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile nchini mwetu Kama mnavutiwa na hao Gen z nendeni Kenya na kamwe msithubutu hapa nchini kwetu.
Uongozi wa chadema Taifa ni kama wamekosa uzalendo kwanini hawawakemei hawa wafuasi wao pale wanapokuwa na hoja zisizo na afya kwa maendeleo ya Taifa letu, Jueni kuwa nyie chadema hamtufai sisi Watz kutokana na siasa zenu za utengano na vurugu.
Tutalinda upendo, amani na mshikamano waliotuachia waasisi wa Taifa letu wapendwa wetu: hayati Jk Nyerere na Karume.