Hakuna mtu ambaye haumizwi na siasa za hovyo zinazofanywa na Viongozi wa chadema nchini, hakuna mtu ambaye haoni na kuumizwa na hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chadema nchini. Kila Mtu anajipanga namna ya kuimaliza chadema kuanzia sisi wadau wa siasa akina instinct desire na wale wote...
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.
Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.
Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu .
Be still, and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile nchini mwetu Kama mnavutiwa na hao Gen z nendeni Kenya na kamwe msithubutu hapa nchini kwetu.
Uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.