PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!

Vile vile wakati Mashehe walipoachiwa na kukamatwa tena, CHADEMA wakiwa moto na No Reforms No Election, na Dkt. Slaa ndio alikuwa ameachiliwa na kuongelea na kungelea kuhusu Reforms za CHADEMA hapo ndipo swala la Nicole Joeberry likapamba moto.

FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.

Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
 
Wakuu,

Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!

FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.

Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.

Tupo kama nyumbu tu na sisiemu kama mamba!
 
Hawa polis wanamuongezea jamaa umaarufu tuu
 
Point yako ni ipi hasa? Kwamba wafuasi wa Lissu ni wepesi kusahau kiasi hicho kwamba wameishasahau kuwa Lissu kakamatwa kwasababu ya Manara na Zaylissa?
 
Wakuu,

Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!

FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.

Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.
Sina pesa ya kumlipa mwanasheria
 
Kama taifa tunalojinadi kuwa tuna demokrasia bado sana tuna safari ndefu kulifikia hilo.
 
Wakati Mh Tundu Lissu ambaye ni mwenyekiti wa Chadema taifa akiwa amekamatwa na jeshi la polisi. Binafsi nilitegemea mitandao na vijiwe vilipuke kufanya mjadala wenye nguvu kuhusu hiki kilichotokea.
Hususani kwa kuwa tunategemea sana wananchi watumike nguvu ya umma kuuzuia uchaguzi usifanyike hapo October.

Nimestaajabu sana kuona raia wapo busy na habari ya Haji Manara kutengana na twiga wa taifa Bi Zaylissa.
Najiuliza kwa nini wananchi wamepuuzia issue ya Lissu badala yake wapo busy na Manara? Au siasa za vurugu bado wananchi hawataki kuziona kwenye nchi yetu ya amani?
 
Back
Top Bottom