PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wajinga kama wewe na wasiojua kuwa cdm ni ccm ndiyo wanalifuatilia swala la manara na zaylisa ,sisi wenye akili tunatambua wao siyo wa kwanza kufanya mapenzi ya kijinga hapa duniani,kama mbwa naye anampenzi na wanaachana sembuse manara na zaylisa??

Tafuta kazi za kufanya siasa na mapenzi ni utumwa wa kifikra kwani wanaonufaika ni wengine na mnaoumia ni wengine.
Manara na zaylissa sio wa kwanza Wala sio wa mwisho. Kwanza mimi ndo nimejua kwakwe
 
Back
Top Bottom