PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!

FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.

Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.
Manara ndo nani?? Hebu tumjue tafadhali make sijamsikia popote zaidi ya hii taarifa ya Lissu
 
Wakuu,

Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!

FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.

Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.
Makamanda walikuwa wapi wakati mwenyekiti wao anakamatwa?Mnataka kukinukisha wakati mko mtandaoni tu.Wakinukishe wengine ninyi mjifiche humu
 
𝐖𝐚𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐝𝐞𝐠𝐫𝐞𝐞 𝐲𝐚 𝐮𝐨𝐠𝐚 𝐧𝐝𝐨 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 .𝐤𝐧𝐚 𝐬𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢 𝐤𝐢𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐢𝐭𝐚𝐛𝐢𝐝𝐢 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐰𝐞 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐛𝐮𝐬 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐩𝐞𝐥𝐞𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐢𝐥𝐞𝐦𝐛𝐞 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐢𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐲𝐚 𝐮𝐛𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐚𝐭𝐚 𝐤𝐢𝐝𝐨𝐠𝐨
 
Ujinga tu na mkumbo Mkuu, lakini pia kuna juhudi za makusudi kuhakikisha watu wanapotezwa, inabidi kuwe na jukumu la makusudi kuwazindua watu na kuhakikisha hali hii inazoeleka, yaani tutegemee vitu kutrend, tuvipuuze
 
Ushindi wa simba ungekuja baada ya kukamatwa lissu bado mngekuja na mada kama hii, kwahy hamtaki maisha mengine yaendelee kisa siasa zenu?
 
Ukweli hauwezi kuzimwa kwa namna hii hata siku moja!
Tukumbuke kuna akina TAL wengi mno nchi nzima!
Tuchukue mawazo chanya tufanye marekebisho mambo mengine yaendelee
 
Wakuu,

Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!

FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.

Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
 
Huyo mzaa Lisa na minara hakuna mwenye akili anafatilia
 
unajifanya great thinker kumbe poyoyo tu. Manara ni nani nchi ulivyo na akili kisoda
 
Back
Top Bottom