CHADEMA Kanda ya Kaskazini yapata viongozi Wapya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni katika Uchaguzi wa Kanda hiyo uliofanyika leo hii

Hawa hapa

Washindi Uchaguzi Kanda ya Kaskazini - 2024

  1. Mwenyekiti, Kanda ya Kaskazini
    • Mhe. Samwel Welwel
    • Kura alizopata: 51%
  2. Makamu Mwenyekiti, Kanda ya Kaskazini
    • Mhe. Gervas Sulle
    • Kura alizopata: 53%
  3. Mweka Hazina, Kanda ya Kaskazini
    • Emma Kimambo
    • Kura alizopata: 55%
Soma Pia: CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

 
Ila chadema mmezingua sana. Nani atawaamini tena? Kama mnaparurana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama mkipewa serikali si ndio mtalikoroga kabisa kisha mtashindwa kulinywa? Mpaka hapo kwa ujinga unaoendelea ndani ya chama kwenye chaguzi zenu mmeshayapa MaCCM credit kibao
 
Naona kwa mgawanyiko huu wa kura chama kimepasuka katikati. Nani anaweza kukifanya tena kuwa kimoja?

HAIWEZEKANI
 
Kati ya vitu vya ovyo chadema wanafanya ni viongozi wao kujiita waheshimiwa...
 
Hao wako upande gani!? Wa mnyooee au TUNDU ANTIPAS LISSU !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…