CHADEMA Kanda ya Kaskazini yapata viongozi Wapya

Umeongea ukweli kabisa. Mwingine anagombea uenyekiti lakini ananyoa kihuni huni utafikiri anataka kukata kiduku
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Cutting hair style nayo ni ya ku judge ? Nakuonaga uko smart japo ni chawa kumbe na wewe una tabia kama za paka
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Cutting hair style nayo ni ya ku judge ? Nakuonaga uko smart japo ni chawa kumbe na wewe una tabia kama za paka
Mimi nipo smart sana mpaka nikianzaga kuongea kwa watu inanibidi kusimama kwa muda Kuzungumza kwa ajili ya kuwaomba watu watulie na waache kububujikwa na machozi ya furaha.
 
Malya chawa wa Mbowe kabwagwa. Kumbe inawezekana! Alimfanya mpaka Lema akaona ni ujinga kushiriki uchaguzi. Safi sana wazalendo wa kweli
Mwamba hata lema alikuwa anamuunga mkono huyo mallya?!
 
Hawatosaidia chochote bila TAL kuwa mwenyekiti,,Chama cha siasa mtaji ni watu kama mnataka kamati kuu mshinde chaguzi mtaishia kushinda chaguzi za ufipa tuu.
 
Cha kunishangaza kwa welwel yeye ni wakili wa DANIEL AWAKI mbunge wa karatu pia huyo huyo welwel kaonyesha nia ya kugombea ubunge karatu.ANYWAY SIASA SI UADUI.
 
CCM wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ