PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi: No Reforms No Election imetupelekea kuwajua wahuni wote waliokuwa madalali ndani ya chama

PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi: No Reforms No Election imetupelekea kuwajua wahuni wote waliokuwa madalali ndani ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria wanayoamini yatawezesha uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kuwa huru na haki.



 
Kweli kabisa. Sasaivi Watanzania tumejua kina nani ni Wanasiasa wa kweli na kina nani ni madalali na matapeli wa kisiasa.

Mungu ibariki Chadema mpya ya Tundu Lissu na John Heche
 
Back
Top Bottom