erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 275
Chadema haitalamba miguu ya mtuTuendelee tu kukaza MAFUVU.
Kwani hao wansoondoka sio CHADEMA? CHADEMA unayoongelea ni hewa au?Chadema haitalamba miguu ya mtu
Wako laki 4CHADEMA kina mamilioni ya wanachama.
Chadema haitalamba miguu ya mtu
Ndivyo inavyo paswa kuwa. Na chenyewe kisitegemee watu watakilamba miguu. Watu wakiamua kuondoka, waagwe kwa heshima na sio matusi.Chadema haitalamba miguu ya mtu
Katambi wewe siyo mstaafu bali tapeli wa kisiasa!Nimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
View attachment 3331915
Unaagaje watu wanaondoka kwa kukosa muhimili!Ndivyo inavyo paswa kuwa. Na chenyewe kisitegemee watu watakilamba miguu. Watu wakiamua kuondoka, waagwe kwa heshima na sio matusi.
Amandla...
hawana hata hoja moja ya maana, umekuwa hadi kiongozi wa kanda, na wewe unataka utendewe nini kingine?Ndivyo inavyo paswa kuwa. Na chenyewe kisitegemee watu watakilamba miguu. Watu wakiamua kuondoka, waagwe kwa heshima na sio matusi.
Amandla...
Alikuwa pandikizi huyoNimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni:
Hivyo najitoa kwa hiari nafasi zangu hizo, na Dhamira yangu na matumaini ya siasa, nitaeleza baadaye.
- Makamu mwenyekiti kanda ya magharibi
- Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kanda
- Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa
- Mjumbe wa kamati tendaji ya kanda
- Mjumbe wa Baraza la mashauriano kanda
Asante sana washirika wangu wa kisiasa kwa muda mlionipa ushirikiano.
View attachment 3331914
Kukosa uhimili au kutofautiana na msimamo wako? Unavumilia nini kama unaamini kwa dhati kuwa mbele kuna korongo? Kuna waliosema kuwa wanaondoka kwa sababu hawataki kuwa sehemu ya demise ya chama. Waacheni waende bila kuwasimanga. Njia pekee ya kuwasimanga ni kuwaonyesha mwisho wa siku kwa vitendo kuwa strategy yenu ni sahihi.Unaagaje watu wanaondoka kwa kukosa muhimili!
Kwa hiyo kwa sababu ya fadhila aliyopewa ulitaka aangalie tu wakati anaona chama chake kinaenda mrama?hawana hata hoja moja ya maana, umekuwa hadi kiongozi wa kanda, na wewe unataka utendewe nini kingine?