PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi - viongozi waachia ngazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Amna bosi data zinaonyesha hamfikii hata robo tatu ya milioni moja. .. labda Kama mmesajili wanachama wapya ndani ya myezi hii sita.

Ila mwaka Jana mlisema wanachama walojisajiri walikua kwenye Malaki not mamilioni.
Lete huo ushahidi.
 
Lete huo ushahidi.

We nikaanze kuview mavideo ya YouTube kwajir ya data za Chadema . Nimechanganyikiwa ????

CCM wenyewe mpaka mwaka Jana November walikua wanautafuta milioni 2. Kwa udi na uvumba.

Yan vijana wa usajiri walipewa posho na magari kwenda vijijini kuandikisha watu .
 
Kwahiyo huna huo ushahidi?
 
Au sio?!!!
Mama alitoa mabilioni ya kuiua CHADEMA zoezi hilo kikienda sambamba na kuua kuteka kupiga na kupoteza wanachama wake lakini Wananchi wamekataa wanasema kuwa ni Raisi ambaye HAKUBALIKI 😂
 
Bilioni ngapi zilitolewa?!!! Alipewa nani?!!!! Wananchi gani waliomkataa Mwanamama shupavu na jasiri, Samia Suluhu Hassan, wa kitongoji chako?!!!!🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana CCM inakataliwa kwasababu hii ni rushwa inatumika na wananchi wanajua hilo.
 
Nimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni:

  1. Makamu mwenyekiti kanda ya magharibi
  2. Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kanda
  3. Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa
  4. Mjumbe wa kamati tendaji ya kanda
  5. Mjumbe wa Baraza la mashauriano kanda
Hivyo najitoa kwa hiari nafasi zangu hizo, na Dhamira yangu na matumaini ya siasa, nitaeleza baadaye.

Asante sana washirika wangu wa kisiasa kwa muda mlionipa ushirikiano.

View attachment 3331914
Tumshukuru mheshimiwa rais profesa SSH kwa hili
 
Watavurugana sio mda ao
 
Back
Top Bottom