PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi - viongozi waachia ngazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sijawahi kuona viongozi wajinga kama CCM. Wanajitengenezea jini..ngoja tuone.
 
Chadema haitalamba miguu ya mtu
I
Chama kimevamiwa na wanaharakati
 
Kwa hali ninayoiona bunge la jamhuri ya tanganyika linaenda kuwa la kijani 100% na miongoni mwq hao wabunge watakuwa ndio hawa wanaokimbia chadema.

Watu wanategemea siasa/vyeo kuendesha maisha yao, halafu wewe unawaletea habari za kususia uchaguzi? Lazima wakukimbie
 
Waendeleee tuone mwisho wao wanaenda wapi na watafanikisha nini huko waendako
 
Katambi ni funza huyu namjua
 
viongozi baada ya mda mchache watapauka sanaaa
 
hawana hata hoja moja ya maana, umekuwa hadi kiongozi wa kanda, na wewe unataka utendewe nini kingine?
Watu wanataka uhuru wa kushiriki kwenye uchaguzi. Kushiriki uchaguzi siyo kuvunja katiba ya chama. Hiyo no reform No election haimo kwenye katiba ya chama!
 
Kwaherini na msalimieni mwajiri wenu watangu kipindi hicho mkiwa miongoni mwa wazalendo hadi mnapoungana na wasaliti wa chama na taifa letu.Inaonyesha dawa iliyonyunyizwa ya kuangamiza chawa ni kali ila bila shaka dozi zaidi kidogo ni muhimu hata kuangamiza mayai ya chawa yaliyosalia.
 
Kumbe chadema ilikuwa na watu wahuni namna hii, self centred and selfish. Nendeni mnachosha nyie maafsa vipenyo
 
CHADEMA kina mamilioni ya wanachama.

Amna bosi data zinaonyesha hamfikii hata robo tatu ya milioni moja. .. labda Kama mmesajili wanachama wapya ndani ya myezi hii sita.

Ila mwaka Jana mlisema wanachama walojisajiri walikua kwenye Malaki not mamilioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…