Lete huo ushahidi.Amna bosi data zinaonyesha hamfikii hata robo tatu ya milioni moja. .. labda Kama mmesajili wanachama wapya ndani ya myezi hii sita.
Ila mwaka Jana mlisema wanachama walojisajiri walikua kwenye Malaki not mamilioni.
Lete huo ushahidi.
Kwahiyo huna huo ushahidi?We nikaanze kuview mavideo ya YouTube kwajir ya data za Chadema . Nimechanganyikiwa ????
CCM wenyewe mpaka mwaka Jana November walikua wanautafuta milioni 2. Kwa udi na uvumba.
Yan vijana wa usajiri walipewa posho na magari kwenda vijijini kuandikisha watu .
Au sio?!!!CHADEMA kina mamilioni ya wanachama.
Mama alitoa mabilioni ya kuiua CHADEMA zoezi hilo kikienda sambamba na kuua kuteka kupiga na kupoteza wanachama wake lakini Wananchi wamekataa wanasema kuwa ni Raisi ambaye HAKUBALIKI 😂Au sio?!!!
Bilioni ngapi zilitolewa?!!! Alipewa nani?!!!! Wananchi gani waliomkataa Mwanamama shupavu na jasiri, Samia Suluhu Hassan, wa kitongoji chako?!!!!🤣🤣🤣🤣Mama alitoa mabilioni ya kuiua CHADEMA zoezi hilo kikienda sambamba na kuua kuteka kupiga na kupoteza wanachama wake lakini Wananchi wamekataa wanasema kuwa ni Raisi ambaye HAKUBALIKI 😂
Ni kwamba uchawa unakusumbua hasa ninyi vijana muliohitimu na hamjapata Ajira...unajua kwanini polisi huwa wanatumika kwenye vituo vya kupigia Kura?Wako laki 4
Na ni tapeli kweli wa siasaKatambi wewe siyo mstaafu bali tapeli wa kisiasa!
Tumshukuru mheshimiwa rais profesa SSH kwa hiliNimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni:
Hivyo najitoa kwa hiari nafasi zangu hizo, na Dhamira yangu na matumaini ya siasa, nitaeleza baadaye.
- Makamu mwenyekiti kanda ya magharibi
- Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kanda
- Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa
- Mjumbe wa kamati tendaji ya kanda
- Mjumbe wa Baraza la mashauriano kanda
Asante sana washirika wangu wa kisiasa kwa muda mlionipa ushirikiano.
View attachment 3331914
Watavurugana sio mda aoNimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni:
Hivyo najitoa kwa hiari nafasi zangu hizo, na Dhamira yangu na matumaini ya siasa, nitaeleza baadaye.
- Makamu mwenyekiti kanda ya magharibi
- Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kanda
- Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa
- Mjumbe wa kamati tendaji ya kanda
- Mjumbe wa Baraza la mashauriano kanda
Asante sana washirika wangu wa kisiasa kwa muda mlionipa ushirikiano.
View attachment 3331914
Hiyo no reform No election haimo kwenye katiba ya chama!Watu wanataka uhuru wa kushiriki kwenye uchaguzi. Kushiriki uchaguzi siyo kuvunja katiba ya chama.[QUOATE] CCM hawatambui hilo