Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama jina lako lilivyoMawakala wanakazi gani kwenye zoezi la uandikishaji?
Mungu Ibariki CHADEMALengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo
Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki kwenye Daftari hilo zinaripotiwa ili kudhibitiwa haraka mno
Taarifa iliyotolewa na ofisa wa Chama hicho Ole Sosopi kwa Umma hii hapa
View attachment 3123648View attachment 3123655
Hakika Chadema ni Akili Kubwa
AmenMungu Ibariki CHADEMA
Hawachelewi kusema huo mpango utazua TaharukiTCRA watablock
Ukitema Nchale, Ukimung'unya NchaleSawa sawa
Mawakala wenu wa ccm wana kazi gani kwaniMawakala wanakazi gani kwenye zoezi la uandikishaji?
Ndiyo TCRA ya CCM hiiHawachelewi kusema huo mpango utazua Taharuki
wanatatuaje hizo changamoto sasa 🤣Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo
Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki kwenye Daftari hilo zinaripotiwa ili kudhibitiwa haraka mno
Taarifa iliyotolewa na ofisa wa Chama hicho Ole Sosopi kwa Umma hii hapa
View attachment 3123648View attachment 3123655
Hakika Chadema ni Akili Kubwa
Pendekezo: Kanda zote za Chadema ndani ya masaa 24 yajayo yawe yameweka mpango huu
Ngoja tuoneNdiyo TCRA ya CCM hii
Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo
Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki kwenye Daftari hilo zinaripotiwa ili kudhibitiwa haraka mno
Taarifa iliyotolewa na ofisa wa Chama hicho Ole Sosopi kwa Umma hii hapa
View attachment 3123648View attachment 3123655
Hakika Chadema ni Akili Kubwa
Pendekezo: Kanda zote za Chadema ndani ya masaa 24 yajayo yawe yameweka mpango huu
Tunakushukuru kwa maelezo yako, ndio maana tumeweka Uandikishaji call centerHiyo nguvu wangeitumia kuwahimiza wafuasi wao wakajiandikishe. **** vituo havina mawakala wa chadema na kuna vituo vina mawakala wa CCM na CHADEMA tu. Pia kuna vituo CHADEMA wameweka mawakala ambao sio wenyeji wa hapo sasa hao mawakala watawajuaje wanaojiandikisha kuwa ni wakazi wa hayo maeneo ikiwa wao wenyewe mawakala ni wageni wa maeneo hayo wanayosimamia uandikishaji?
Mimi ninakoishi kuna vituo vitatu vya kujiandikisha, nimeenda jana asubuhi sikukuta mtu hata mmoja amekuja kujiandikisha, nimejiandikisha na kuondoka.
Hivi vyama vya upinzani ambavyo vinasema kila siku vina wafuasi kwa nini haviwahimizi wafuasi wao wakajiandikishe? Hatua ya kwanza ni kujiandikisha kisha ndipo hatua ya pili inafuata ya kupiga kura.
Sasa hivi wako busy na mechi ya Simba na yanga itakapochezwa jumamosi ijayo muda wa kujiandikisha utakuwa unaishia.
Mabadiliko hayataletwa na kushinda mitandaoni mkilalamika.
Watanganyika bado wako katika usingizi wa pono.