LGE2024 CHADEMA Kanda ya Nyasa yazindua Kituo cha Huduma ya simu kwa Wananchi, Kinaitwa UANDIKISHAJI CALL CENTER

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo

Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki kwenye Daftari hilo zinaripotiwa ili kudhibitiwa haraka mno

Taarifa iliyotolewa na ofisa wa Chama hicho Ole Sosopi kwa Umma hii hapa

Screenshot_2024-10-13-16-13-14-1.png
Screenshot_2024-10-13-16-14-05-1.png

Hakika Chadema ni Akili Kubwa

Pendekezo: Kanda zote za Chadema ndani ya masaa 24 yajayo yawe yameweka mpango huu
 
Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo

Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki kwenye Daftari hilo zinaripotiwa ili kudhibitiwa haraka mno

Taarifa iliyotolewa na ofisa wa Chama hicho Ole Sosopi kwa Umma hii hapa

View attachment 3123648View attachment 3123655

Hakika Chadema ni Akili Kubwa
Mungu Ibariki CHADEMA
 
wanatatuaje hizo changamoto sasa 🤣
 
Hiyo nguvu wangeitumia kuwahimiza wafuasi wao wakajiandikishe. **** vituo havina mawakala wa chadema na kuna vituo vina mawakala wa CCM na CHADEMA tu. Pia kuna vituo CHADEMA wameweka mawakala ambao sio wenyeji wa hapo sasa hao mawakala watawajuaje wanaojiandikisha kuwa ni wakazi wa hayo maeneo ikiwa wao wenyewe mawakala ni wageni wa maeneo hayo wanayosimamia uandikishaji?

Mimi ninakoishi kuna vituo vitatu vya kujiandikisha, nimeenda jana asubuhi sikukuta mtu hata mmoja amekuja kujiandikisha, nimejiandikisha na kuondoka.

Hivi vyama vya upinzani ambavyo vinasema kila siku vina wafuasi kwa nini haviwahimizi wafuasi wao wakajiandikishe? Hatua ya kwanza ni kujiandikisha kisha ndipo hatua ya pili inafuata ya kupiga kura.

Sasa hivi wako busy na mechi ya Simba na yanga itakapochezwa jumamosi ijayo muda wa kujiandikisha utakuwa unaishia.

Mabadiliko hayataletwa na kushinda mitandaoni mkilalamika.

Watanganyika bado wako katika usingizi wa pono.
 
Tunakushukuru kwa maelezo yako, ndio maana tumeweka Uandikishaji call center
 
Back
Top Bottom