CHADEMA KAZENI HAPO HAPO MSIRUDI NYUMA KUWATEKA NI NJIA YA KUWATOA KWENYE RELI

CHADEMA KAZENI HAPO HAPO MSIRUDI NYUMA KUWATEKA NI NJIA YA KUWATOA KWENYE RELI

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Ukiona kwenye maisha hupati changamoto jua huna faida au huna athari katika jamii.

Leo CHADEMA mumeishika serikali ya CCM pabaya, mumekaribia ukingoni kuitoa madarakani, mumevishika nyeti vyombo vya dola hasa polisi, leo kila kona mumewabana.

Kwahyo ombi langu msilegeze kazeni hapo hapo ata vitani wanajeshi wanakufa lakini vita inasonga mbele .

Kosa mtakalofanya kurudi nyuma, huu si wakati wa kuangalia kiti cha uenyekiti angalieni malengo yenu, misiwe kama Msigwa aliyekata tamaa.

Mf Lissu alipigwa risasi lakini hakurudi nyuma Lissu alikufa nusu hakurudi nyuma.

CHADEMA mpo vitani na mnakaribia kushinda hii vita kazeni uzi.
 
Back
Top Bottom