CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Magufuli alihusika kama huyu wa sasa anavyohusika,na mwisho wa ubaya ni aibu ndiyo maana Magufuli yuko motoni. Ewe Mola wetu tunaomba uje utuamulie huu ugomvi kama ulivyo fanya March 17th 2021Magufuli alisingiziwa mengi na laana iwatafune wote waliomsingizia
Duh! Mbona kama umechelewa sana?Honestly,nmepoteza Imani na jeshi letu
Magufuli hakusingiziwa bali ndiye mwasisi wa huu ujinga wa kuteka na kuua. Magufuli alikuwa muuaji. Kosa lililofanyika ni wananchi kuogopa ku-react hivyo hiki kibibi nacho kimeiga na kwenda mbali zaidi.Magufuli alisingiziwa mengi na laana iwatafune wote waliomsingizia
Mungu Wabariki WazunguKweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
utekaji unafanywa na jeshi letu pendwa la polisi"
Watajuta samia na genge lake la raia feki chini ya jambazi sugu rostam ndiyo walikuwa nyuma ya mipango yote ya kumchafua jpm...kisha wanatumia upinzani. Kumshutumu kuwa jpm alikuwa muuajiMagufuli alisingiziwa mengi na laana iwatafune wote waliomsingizia
Jamani jamani sovereignity ndio mambo gani sasa?Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.
Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho.
Asanteni wote mliopaza sauti hatimaye msaidizi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Geita amepatikana ndani ya kituo Cha Polisi Chato.Viongozi wetu wanafuatilia na tutawapa taarifa za kina baadaye Kuhusu afya yake pia tutawajulisha .Naamini hata wakina Deus Soka watapatikana tuu .
Tukutane tarehe 23 Dar Kwa Maandamano ya Amani kama watakuwa hawajapatikana !
Soma Pia:
- Hatma ya Soka na wenzake waliotekwa ni shimo kwa CHADEMA?
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Acha uongoWatajuta samia na genge lake la raia feki chini ya jambazi sugu rostam ndiyo walikuwa nyuma ya mipango yote ya kumchafua jpm...kisha wanatumia upinzani. Kumshutumu kuwa jpm alikuwa muuaji
Wenyewe wanasema sisi tunaopaza sauti ndio tunavunja amani ya nchi😂😂Kuna mambo ya kiseee yanaendelea ambayo sio mazuri Kwa mustakabali wa amani yetu
Kuua au kuteka siyo tatizo ...tatizo ni kuteka kwa ajili ya haki au kuteka dhidi ya haki ...kuua damu isiyo na hatia ndiyo kosa ila kuua damu chafu yenye hatia siyo kosa ...JPM alisimama kwenye uzalendo na haki....ukiuliwa basi umeuliwa kwa haki na ukitekwa hivyo hivyo ...samia ana teka raia wema na kuwalinda mafisadi na waovu ...tumia akili achakutumia kijambio kufikiri....Magufuli hakusingiziwa bali ndiye mwasisi wa huu ujinga wa kuteka na kuua. Magufuli alikuwa muuaji. Kosa lililofanyika ni wananchi kuogopa ku-react hivyo hiki kibibi nacho kimeiga na kwenda mbali zaidi.
Huo ni ukweli ulio tukuka mbona waliompinga jpm ambao kwa sasa ndiyo wameshika madaraka wanashindwa kuonyesha mauaji aliyo fanya jpm ...wewe unafikiri kwanini wasionyeshe wakati uwezo wanao ? Ukweli ni kwamba kama jpm angekuwa muuaji serikali ya samia ingefanya juu chini kudhihilisha uovu wake kwa sababu wanamchukia hadi leo.Acha uongo
Nchi imekuwa jehanam
Aisee! Hapo ndio utagundua damu za watu ni mbaya, yaani unasahau hata impact ya swala unalo kabiliana nalo, kwani wangekubali wanae tangu mwanzo walikua wanapungua nini au ndio MISSION TERMINATEDHii inathibitisha kwamba "utekaji unafanywa na jeshi letu pendwa la polisi"
Mitano tena
Ya kuteka, kutesa na kuua duhHalafu samia anawapongeza kwa kazi nzuri
Kelele zimekua nyingi chezo limeshtukiwaAisee! Hapo ndio utagundua damu za watu ni mbaya, yaani unasahau hata impact ya swala unalo kabiliana nalo, kwani wangekubali wanae tangu mwanzo walikua wanapungua nini au ndio MISSION TERMINATED