CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

Magufuli alisingiziwa mengi na laana iwatafune wote waliomsingizia
Watajuta samia na genge lake la raia feki chini ya jambazi sugu rostam ndiyo walikuwa nyuma ya mipango yote ya kumchafua jpm...kisha wanatumia upinzani. Kumshutumu kuwa jpm alikuwa muuaji
 
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.

Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho.

Asanteni wote mliopaza sauti hatimaye msaidizi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Geita amepatikana ndani ya kituo Cha Polisi Chato.Viongozi wetu wanafuatilia na tutawapa taarifa za kina baadaye Kuhusu afya yake pia tutawajulisha .Naamini hata wakina Deus Soka watapatikana tuu .

Tukutane tarehe 23 Dar Kwa Maandamano ya Amani kama watakuwa hawajapatikana !

Soma Pia:

Jamani jamani sovereignity ndio mambo gani sasa?
 
Magufuli hakusingiziwa bali ndiye mwasisi wa huu ujinga wa kuteka na kuua. Magufuli alikuwa muuaji. Kosa lililofanyika ni wananchi kuogopa ku-react hivyo hiki kibibi nacho kimeiga na kwenda mbali zaidi.
Kuua au kuteka siyo tatizo ...tatizo ni kuteka kwa ajili ya haki au kuteka dhidi ya haki ...kuua damu isiyo na hatia ndiyo kosa ila kuua damu chafu yenye hatia siyo kosa ...JPM alisimama kwenye uzalendo na haki....ukiuliwa basi umeuliwa kwa haki na ukitekwa hivyo hivyo ...samia ana teka raia wema na kuwalinda mafisadi na waovu ...tumia akili achakutumia kijambio kufikiri....
 
Acha uongo
Huo ni ukweli ulio tukuka mbona waliompinga jpm ambao kwa sasa ndiyo wameshika madaraka wanashindwa kuonyesha mauaji aliyo fanya jpm ...wewe unafikiri kwanini wasionyeshe wakati uwezo wanao ? Ukweli ni kwamba kama jpm angekuwa muuaji serikali ya samia ingefanya juu chini kudhihilisha uovu wake kwa sababu wanamchukia hadi leo.
 
Back
Top Bottom