CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

Hata kuua kuliko fanywa kwa haki ni hivyo hivyo lengo siyo kuua wasio na hatia bali wanauliwa waovu pale inapo stahiki tu hatusemi kuua ovyo ovyo bila ya sababu za msingi na ndiyo hata majeshi yanavyo takiwa kufanya.
 
Manda Mano tar. 24/09/24 kupinga dhulma zifanywazo na hao polishi...
Na wasitulinde skuiyo tutajilinda wenyewe
 
CC chiembe
 
Wewe ni Aina ya watu wanye poor reasoning aka wapumbavu
 
Hata kuua kuliko fanywa kwa haki ni hivyo hivyo lengo siyo kuua wasio na hatia bali wanauliwa waovu pale inapo stahiki tu hatusemi kuua ovyo ovyo bila ya sababu za msingi na ndiyo hata masheshi yanavyo takiwa kufanya.
Hakuna mwanadamu mwenye Haki kamilifu hadi awe na mamlaka ya kuua kwa haki, ( wote tuna hatia) Haki ni kitu kikubwa sana tunajaribu tu kukikaribia. uovu hukumu yake si kuondoa Uhai.

Usishupae sana kwenye kuondoa Uhai wa mtu ndugu, awe mwovu au mwema ataondoka kwa muda wake.

Hakuna mwenye mamlaka na haki ya kuondoa Uhai wake mwenyewe au wa mwenzake zaidi ya aliyeuweka mwenye Haki timilifu. "Life Belongs only to God." Over

Hivi ndivyo yafanyavyo majeshi yenye nidhamu ambayo hayaja kengeuka.
 
Kwa hiyo kama haki ni kitu kikubwa basi tusikitende kwa sababu ni kitu kikubwa sana nani kakuambia haki ni kwenye kuua tu...kama kuua kwa haki ni haramu basi kila tendo la haki ni haramu ..hivyo tusitende haki yoyote.
 
Mungu ni Mwema sana, na ashukuriwe na watu wote wema.
 

Jamani jamani sasa wakuu wetu watalisemeaje hili kuhusu tuhuma za Polisi / vyombo vya usalama kuteka watu?? Kuba na lila la Tanga vilevile.
Lucas maoni yako pls
 
Upeo wako ni mdogo sana ndiyo maana hujaelewa nilichoandika. Una akili kama za yule muuaji Magufuli unayemshabikia, na haya ni matokeo ya shule za kata. Unajua tofauti ya ''hukumu'' na ''kujitetea''? Tafuta maana ya maneno haya ndiyo tuendelee!
 
Upeo wako ni mdogo sana ndiyo maana hujaelewa nilichoandika. Una akili kama za yule muuaji Magufuli unayemshabikia, na haya ni matokeo ya shule za kata. Unajua tofauti ya ''hukumu'' na ''kujitetea''? Tafuta maana ya maneno haya ndiyo tuendelee!
Wewe kijambio cha ccm tumia akili nimekuuliza unashindwa kujibu binadamu aliishi duniani kabla ya hizo mahakama unazo zitambua wewe zuzuna kabla ya vyuo vya kusomea uhakimu ...elewa kuwa mahakama ya kwanza ni wewe mwenyewe ...hata huko unakoita kujitetea kunakuja baada ya wewe nafsini mwako kutoa hukumu ya kujitetea kitu kinacho takiwa ni hiyo hukumu unayotoaiwe ya haki ...maana hata majambazi huwa yanajitetea pia na wahalifu huwa wanajitetea tofauti ni kwamba mwalifu anajitetea kinyume na haki au dhidi ya haki hivyo kujitetea pia kunatakiwa kuwe kumetokana na haki.
 
It seems you are still stuck in the dark ages, a time when there was no rule of law and people lived by the law of the jungle, where might made right. It's time to move forward and embrace our modern, civilized society na achana na ushamba wako kama wa Magufuli.
 
Inasemekana hata kipindi Cha magufuli mama abduli alianzisha kikundi Cha utekaji Kwa Siri ili aonekane ni magufuli Kwa lengo la kumgombanisha na wananchi na hatimaye akafanikiwa kugombanisha
 
Huo upuuzi wako wa uzungu wa kutaka kuolewa na mwanaume mwezio peleka huko huko waliko kufundisha uzungu ...ndiyo nyinyi wapumbavu mnao ambiwa kuoa wake wengi ni haramu ila mwanaume kuoa na kuolewa na mwanaume mwenzie ni haki za binadamu...stupid
 
Huo upuuzi wako wa uzungu wa kutaka kuolewa na mwanaume mwezio peleka huko huko waliko kufundisha uzungu ...ndiyo nyinyi wapumbavu mnao ambiwa kuoa wake wengi ni haramu ila mwanaume kuoa na kuolewa na mwanaume mwenzie ni haki za binadamu...stupid
You are just another idiot! Need to say more? Zile zile fikra mfu za Magufuli anasema wanataka kumuua kwa barakoa wakati amewekewa pacemaker!
 
Hilo nakubaliana na wewe.

Migaidi ya kibiti ndo yalichinjwa na kujazwa kwenye viroba, wakaogopa na kusambaratika.

Ilitumika nguvu kubwa kuliokoa Taifa.

Hata hivyo walioiandaa oparesheni hiyo walifanya kosa la kiufundi kutokuandaa eneo la kuzikia maiti za mujahidini hao.

Kawaida inapoandaliwa operesheni kama hiyo lazima itengenezwe Echeloni kwa ajili ya kuhoji mateka, kuwauwa na kuwazika na ikionekana inafaa kuwavuna viuongo kwa ajili ya matibabu ya raia wema na tafiti za kisayansi.

Kosa hilo la kiufundi walilofanya lilichafua image ya Serikali hadi leo, wakati walifanya hivyo kwa nia njema.
 
Magaidi wa kibiti, waua abdino, majambazi wote hao tulijaza wa kutosha kwenye viroba ni haki yao ..ndiyo maana uovu ulipungua nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…