CHADEMA kiboko! Kwanini nasema hivyo?

CHADEMA kiboko! Kwanini nasema hivyo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc.

Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme, machawa walijazana kuripoti kilichokuwa kinaendelela kwenye vikao as if walikuwa kwenye vikao kama waalikwa wa kuripoti proceedigs za vikao!

Sasa nchi imetulia bada ya vikao kuisha.

Chadema kiboko!
 
Serikali yeti ya ccm imetumia roboti bungeni na vikao vya kamati kuu ku deviate hoja za muungano ambazo hazina majibu!!

Ccm tujifunze ku go for it not to escape from it!

Hoja za Tundu lisu hazijajibiwa!!

Nakishukuru Sana chama changu CCM Kwa kuulea Upinzani na nakilaumu Kwa kutumia nguvu ya Dola kuuua!!

Katiba mpya ni takwa la wote!
 
Mkuu the system wamesitisha operation au hii move ya CDM ni mpango wa DP?
Ame act smart ku wa outshine dp.

But dp wansubiri before,during and after election waone kama anaweza ku handle heart attack!!

Namshangaa Ally hapi juzi namsikia eti anasisitiza nchi ipo salama kama mara tatu au nne hivi!!

Nikaujiuliza nani kasema nchi haipo salama!!?

Wana mpango was kumuingiza mwingine 2025,wakishindwa 2026 tutaona nini kitajiri!Dp haijajiandaa aliepo kwenda 2030 akiwa stronghold!
 
News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya chaema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc.

Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme, machawa walijazana kuripoti kilichokuwa kinaendelela kwenye vikao as if walikuwa kwenye vikao kama waalikwa wa kuripoti proceedigs za vikao!!!!

sasa nchi imetulia bada ya vikao kuisha.

Chadema kiboko!
Wewe mwenyewe huna uhakika na hujui kilichojadiliwa ni unaa tu unaokusumbua!
 
Umemsahau kada wa CDM ambaye Yeye Huwa ameutenga special kabisa Mwezi March Kila mwaka akimkumbuka shujaa Magufuli ?
 
Mwenyekiti amekaa na maazimio kwanza

kuongea lolote kwasasa ni kuingilia majukumu ya IU ya chadema

Ngoja
chaguzi ziishe kwanza
 
JamiiForums442997317_236x211.jpeg
 
News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc.

Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme, machawa walijazana kuripoti kilichokuwa kinaendelela kwenye vikao as if walikuwa kwenye vikao kama waalikwa wa kuripoti proceedigs za vikao!

Sasa nchi imetulia bada ya vikao kuisha.

Chadema kiboko!
Chadema imeshakufa,ni muda tuu.
 
Binadamu bwana.
Unaweza dhan huko kwenye hivyo vikao wako busy kufanya mambo ya maaaaaana kumbe ujinga ujinga.
 
News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc.

Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme, machawa walijazana kuripoti kilichokuwa kinaendelela kwenye vikao as if walikuwa kwenye vikao kama waalikwa wa kuripoti proceedigs za vikao!

Sasa nchi imetulia bada ya vikao kuisha.

Chadema kiboko!
Team mahususi ya Chadema ya Kijasusi ni Balaa
 
Back
Top Bottom