Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Utakufa wewe uiache Chadema. Magufuli aliyekuwa CIC alishindwa kuiua Chadema hadi akaamua kufa .Chadema imeshakufa,ni muda tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa wewe uiache Chadema. Magufuli aliyekuwa CIC alishindwa kuiua Chadema hadi akaamua kufa .Chadema imeshakufa,ni muda tuu.
Ujinga kwa mjinga kama weweBinadamu bwana.
Unaweza dhan huko kwenye hivyo vikao wako busy kufanya mambo ya maaaaaana kumbe ujinga ujinga.
Mzee vp zambarau ayatollah anasemaje huko au ndo anataka kuwa rais wa MWANDIGA?Mzee Chadema si ndio chama kikuu cha upinzani? Sasa chama kikuu cha upinzani kinashangilia kuandikwa kweli ? Au hakijiamini tena?
Swadakta kabisaUjinga kwa mjinga kama wewe
Ulisoma kabla ya kupostMzee Chadema si ndio chama kikuu cha upinzani? Sasa chama kikuu cha upinzani kinashangilia kuandikwa kweli ? Au hakijiamini tena?