Elections 2010 Chadema kiboko yao

Elections 2010 Chadema kiboko yao

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
253
Uliteuliwa kwa mujibu wa katiba ya chama na ukakubali kuifuata katiba ya chama na Sasa unaona haya kuitetea na kuifuata katiba ya Chama..Dawa yake ni SAWA NA SIAFU WALIOINGIA NDANI YA NYUMBA. FAGILIA MBALI NA LAANA JUU.Ni lazima chama kiheshimiwe na katiba ya chama ifuatwe..This is democracy and always democracy is not an easy investment, Needs qualified people to the right time and right position.There if you are thinking of benefit on the other side remember Sime ya Mmasai which cuts both side..PEOPLE S POWER AND WE ARE ON POLITICAL RALLY TO WIN THE CHANGES.
 
Hiki c chama cha Magamba, hapa people wako serious mwanawane oooohhhhhh!!!!!
Watu wamenyolewa mwanawanee alaaaahhh!!!!!
 
Yap ndo manake, ukileta ubishi wakati unaishi kwenye nyumba ya kupanga lazima uhame nyumba!
 
wamechinjia baharini........wakafie mbali kabisa
 
Chadema mpo juu sana! siyo kama hao magamba wanaoleana sana, ukicheka na nyani utavuna mabuwa. Hao watakuwa walikuwa ni wafuasi wa magamba afadhali kama wamevuliwa kwani walikuwa wanatukwangua tulipokuwa tunakutana nao. Safi sanaaa Chadema mwendo ni huo huo tu!
 
Uliteuliwa kwa mujibu wa katiba ya chama na ukakubali kuifuata katiba ya chama na Sasa unaona haya kuitetea na kuifuata katiba ya Chama..Dawa yake ni SAWA NA SIAFU WALIOINGIA NDANI YA NYUMBA. FAGILIA MBALI NA LAANA JUU.Ni lazima chama kiheshimiwe na katiba ya chama ifuatwe..This is democracy and always democracy is not an easy investment, Needs qualified people to the right time and right position.There if you are thinking of benefit on the other side remember Sime ya Mmasai which cuts both side..PEOPLE S POWER AND WE ARE ON POLITICAL RALLY TO WIN THE CHANGES.

Lazima mtumie lugha za wenzenu hata kama hazipandi sawa sawa? Si ungeandika Kiswahili ili ueleweke au na chenyewe kinapiga chenga? unanchekesha!
 
Back
Top Bottom