johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muda ukifika tutamfahamu.Ndio nani huyo bwashee?
Mm mpk sasa bado nashangaa upinzani halisi wamewaza nini kuingia kwenye uchaguzi while hakuna mabadiliko yoyote ya kimfumo kuhusu uchaguzi yaliyofanyika wakt tayari wana experience ya kutosha ya yaliyotokea kwenye chaguzi bandia za marudio
Hawa ccm wa kufyekelea mbali, jana nimemgonga ccm mmoja...sitakagi ujingaHapana, Nadhan jamii haipaswi kuchukulia huu uhuni wa CCM na tume yake, kama udhaifu wa Wapinzani.
Huyu aloamua kutoa Fomu feki, maana yake amegushi nyaraka?
Sasa ktk hawa wawili nani Tumnyooshe vidole?
Aiseeee Pigeni kelele kukemea uhuni wa CCM na ikiwezekana watu waingie Mabarabarani, lakini sio kuwalaumi wapinzani.
Nimeandika nikafuta. Ninahasira sana. Bora sasa kiwake tuu'Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mshahara,nikupe gari na kukujazi mafuta halafu umtangaze mpinzani.'
Siku wakisikia MTU kajitoa muhanga pale whitehouse Dodoma ndio watajua watu wameghadhabika na kufanywa wajingaCCM hamna chama humo kilichobakia ni usanii mtupu!!
We shall overcomeHapana, Nadhan jamii haipaswi kuchukulia huu uhuni wa CCM na tume yake, kama udhaifu wa Wapinzani.
Huyu aloamua kutoa Fomu feki, maana yake amegushi nyaraka?
Sasa ktk hawa wawili nani Tumnyooshe vidole?
Aiseeee Pigeni kelele kukemea uhuni wa CCM na ikiwezekana watu waingie Mabarabarani, lakini sio kuwalaumi wapinzani.
I was thinking same thing!!Siku wakisikia MTU kajitoa muhanga pale whitehouse Dodoma ndio watajua watu wameghadhabika na kufanywa wajinga
Unasubiri mpaka mtu mwingine ajitoe muhanga[emoji12][emoji12] kwanini usijitoe wewe?Siku wakisikia MTU kajitoa muhanga pale whitehouse Dodoma ndio watajua watu wameghadhabika na kufanywa wajinga