Haaahaa hadi nimecheka jaman uwiii yaan awam hii tutaona vituko khaaaWagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya uchaguzi.
Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki.
Chanzo: ITV habari
My take; Nilisema Membe ameenda kuhakiki fomu ni jambo jema
Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka wasishiriki uchaguzi, wasubiri ipatikane tume huru wakati huo wananchi ambao ndio wahusika wakuu mmelala usingiz wa pono.Mm mpk sasa bado nashangaa upinzani halisi wamewaza nini kuingia kwenye uchaguzi while hakuna mabadiliko yoyote ya kimfumo kuhusu uchaguzi yaliyofanyika wakt tayari wana experience ya kutosha ya yaliyotokea kwenye chaguzi bandia za marudio
Unao huakika na huo utopolo unauzu ngumzia?Tabia ya Rais kuwaona wanaofanya uovu dhidi ya wapinzani ndio wanaofaa kiasi cha yeye kuwapandisha vyeo, imewaharibu sana viongozi na watendaji. Matokeo yake watendaji wanashindana kuwafanyia uovu wapinzani ili Rais awaone na awazawadie vyeo.
Rais wetu ndiye anayestahili kubeba lawama ya maovu yote ya watendaji dhidi ya wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi kasema yeye alitoa fomu halali hivyo amewataka waende polisi kuzithibitisha vinginevyo hazitapokelewa!Wamechukua fomu nyingine?
Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya uchaguzi.
Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki....
Narudia tenaWagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya uchaguzi..
Ndio nani???Robert Amsterdam tafadhali .
Umeenda bank au dukani ukapewa noti au sarafu bandia ukaenda nayo kwako na kukaa nayo zaidi ya siku tatu kisha baadae unarudi nayo dukani unasema ulipewa pesa bandia, Hivi hapo unaweza kushinda kesi?Hapana, Nadhan jamii haipaswi kuchukulia huu uhuni wa CCM na tume yake, kama udhaifu wa Wapinzani.
Huyu aloamua kutoa Fomu feki, maana yake amegushi nyaraka?..
Tabia ya Rais kuwaona wanaofanya uovu dhidi ya wapinzani ndio wanaofaa kiasi cha yeye kuwapandisha vyeo, imewaharibu sana viongozi na watendaji. Matokeo yake watendaji wanashindana kuwafanyia uovu wapinzani ili Rais awaone na awazawadie vyeo.
Rais wetu ndiye anayestahili kubeba lawama ya maovu yote ya watendaji dhidi ya wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani zinaonekana siyo original ni kama photocopy!Walizichukua fomu kabisaaa kwa DED wakazijaza wakati wanazirudisha wagagudua kuwa Ni fomu feki Wakiwa tayali wameshazijaza!!!!
Umeenda bank au dukani ukapewa noti au sarafu bandia ukaenda nayo kwako na kukaa nayo zaidi ya siku tatu kisha baadae unarudi nayo dukani unasema ulipewa pesa bandia, Hivi hapo unaweza kushinda kesi?
Nani hapo mzembe?
Kama wameiga mambo ya Nassari waseme tu ukweli.
Hoja hapo hautashinda kesi sababu itakuwa ngumu kuthibitisha pesa uliyopewa ilikuwa bandia. Kwa hivyo hawa wagombea inawezekana hawasemi ukweli labda wamefanyiwa uhuni huko walikotunza fomu au wamezibadili wenyewe kwa sababu zao, kama wamepewa fedha wapoteze ubunge na washindani wao sisi tutajuaje?Sioni kama mfano wako una maana yoyote zaidi ya kutetea uovu. Uende bank kisha upewe hela fake ukae nayo kisha ugundue Ni fake huwezi kushinda kesi! Hilo ni kweli huwezi kushinda kesi, je ni sahihi bank kutoa pesa fake kisa huwezi kushinda kesi? Kwahiyo hiyo bank itaendelea kuwa bank au ofisi ya wanyang'anyanyi? Hivi sasa hivi ni sifa uhuni kufanyika kwenye ofisi za umma? Mnadhani mambo hayo yataishia hapo hapo? Hao wanaofanya huo uhuni na kusifiwa kama ufanyavyo hawataishia hapo boss.
Hoja hapo hautashinda kesi sababu itakuwa ngumu kuthibitisha pesa uliyopewa ilikuwa bandia. Kwa hivyo hawa wagombea inawezekana hawasemi ukweli labda wamefanyiwa uhuni huko walikotunza fomu au wamezibadili wenyewe kwa sababu zao, kama wamepewa fedha wapoteze ubunge na washindani wao sisi tutajuaje?
Kabla hujawaza utakuwa umevunjwa mbavu sita, jaribu uoneSiku wakisikia MTU kajitoa muhanga pale whitehouse Dodoma ndio watajua watu wameghadhabika na kufanywa wajinga
lini bank imetoa noti fake?Umeenda bank au dukani ukapewa noti au sarafu bandia ukaenda nayo kwako na kukaa nayo zaidi ya siku tatu kisha baadae unarudi nayo dukani unasema ulipewa pesa bandia, Hivi hapo unaweza kushinda kesi?
Nani hapo mzembe?
Kama wameiga mambo ya Nassari waseme tu ukweli.