Uchaguzi 2020 CHADEMA Kilimanjaro walalamika kupewa fomu bandia na Tume ya Uchaguzi kwa Wagombea Ubunge

Unajuwa kwamba Lucy Owenya ni mtoto wa marehemu Ndesa Pesa?
 
Umeona sasa akiii zenu za Limumba???

Huu mfano wako unamaana gan sasa???
 
Unajuwa kwamba Lucy Owenya ni mtoto wa marehemu Ndesa Pesa?
Mkuu mtoto wa Nyerere alikuwa mgombea wa ubunge kupitia NCCR-Mageuzi. Lucy anaeza kucheza faulo sababu ya mapenzi binafsi ya chama flani au kwa taamaa ya kuteuliwa nafasi kubwa na chama kingine.

Anyway, haya mawazo yangu ambayo siyo sheria au uhalisia, siri wanaijua Lucy na mkurugenzi.
 
Hao akina Lucy Ndesamburo na Grace Kihwelu Ndesamburo ndio wanaimiliki Chadema pamoja na Freeman Mbowe na Halima Mdee!
 
Wameelekezwa waende polisi kuzithibitisha.
 
Poor reasoning. Tutajuaje kama ulipokwenda huko ulizibadilisha ili kutafuta attention? Kwanini wasizikague wakati wanakabidhiwa? Wakazikataa hapo hapo.
 
Poor reasoning. Tutajuaje kama ulipokwenda huko ulizibadilisha ili kutafuta attention? Kwanini wasizikague wakati wanakabidhiwa? Wakazikataa hapo hapo.

Sababu za kulazimisha hizi, ingekuwa ni biashara ya barabarani wangalau unaweza kuwa na shaka, ila ndani ya ofisi husika unapata shaka wapi? Kwahiyo unataka kusema kwa sasa ofisi za umma haziaminiki, mpaka tufukie mahali unaweza kupewa documents fake? Are you serious for this statement or just joking?
 
Ni heri tuendelee maeneo ambayo ni salama.
seif sharif majuzi juzi alisusia uchaguzi wa zanzibar waona kilichotokea??
Bora iwe hvyo, sasa hebu cheki wameshaanza kuwateka, kuwapiga mapanga na kuwanyang'anya form wagombea ni uhuni kabisa huu.
 
je mahakama zetu haziwezi kuliingia hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…