Una tatizo
Kwani madai yao ni ya uongo?
Tumeona viongozi wetu wakipotea na kuuawa hasa wale wakosoaji wa mfalme...
Niko isbania nchini kenya ninaelekea ubalozi wa Sweden kuomba hifadhi mimi na familia yanguNa wewe unaondoka Lini???
Hata mwezi bado mmeanza kukimbia ikifika mwaka wote mtajisalimisha TuUna tatizo la akili wewe sio bure!
Kwani madai yao ni ya uongo?
Tumeona viongozi wetu wakipotea na kuuawa hasa wale wakosoaji wa mfalme.
Mbinu zenu tunazijua
1) Kuteka na kutesa hadi mtu akubaliane na udhalimu wenu
2) Kubambikizia kesi mbayambaya
3) Kufilisi
4) Kuhonga
5) Kuua wale wenye misimamo isiyoyumba!
CCM mnajificha nyuma ya mchicha mkidhani hamuonekani
Kwa miaka mitano yote walikuwa wanapinga huku wanapokea mishahara na marupurupu kibao SASA mbona baada ya kushindwa wameanza kuikimbia Nchi kulikoni???waje wajiajiri tuBora wakaishi na kula bure wakiwa watu huru kuliko kuishi nchi inayotaka kila mtu asifie na kuabudu Jiwe!
Kwahiyo kuwa mkimbizi wa kisiasa mana yake unatunzwa na hiyo nchi ulikimbilia?Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1,kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2,kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3,ukweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Maiti za Tanzania mpaka zitakapojitambua safari ni ndefu,ila bado tutaendelea kuzipiga shoti huenda zikaamka!nani katekwa katekwa kwati ya hao wapiga dili wa upinzani!!!!
mnatibu amambo huko,mkifinywa mnaloloma.acha wakaishi kwa watu huko,wapewe uraia wakiweza wagombee huko
Kimbia Nchi!!!shame
Kutakuwa kuna jambo, haiwezekani mtu kama Nyarandu akimbie aache mambo yake yote nyuma. Mimi nilihisi ni mambo tu ya siasa za upinzani ila huenda kuna jambo maana kuna mambo unaweza kuhisi hayatokei kumbe yanatokea.Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo...
Mpo kwenye keyboard Tu kwenye field hamuonekaniMaiti za Tanzania mpaka zitakapojitambua safari ni ndefu,ila bado tutaendelea kuzipiga shoti huenda zikaamka!
Wenye maono kinzani bado tupo tupo sana,tutaendelea kuparuana pale mtakapoyumba!Mkikosea tunapiga msumari,we are just living our lives to the fullest!