CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli

Mkuu hata karma unahasira ya kushindwa, umetumia Lugha ambayo site nzuri.
 
nani katekwa kati ya hao wapiga dili wa upinzani!!!!

mnatibua mambo huko,mkifinywa mnaloloma. Acha wakaishi kwa watu huko, wapewe uraia wakiweza wagombee huko.
Angalia jinga hii
 
Kila mtu anaweza kukimbia na kudai hifadhi ya kisiasa. Ccm roho zinawauma sana wana cdm kutoroka nchi. Kama na nyie mnapenda kuwa wakimbizi torokeni hamzuiwi ilimradiuwe na credible evidence kuwa usalama wenu upo hatarini.
Angeuawa Lisu ungesikia Mbowe anauwa wanachama ili serikali ilaumiwe nk.propaganda za ajabu.
Nakazia. Hata Mbowe atafute namna ya kuukimbia huu utawala kiimla
 
Na wewe kuwa mwana siasa ndio utaelewa
 
Watanzania zali hilo... Kesho kukicha pakuche na ubalozi😅😅😅kama wana mapenzi ya zati wwawapelekeni Ughaibuni...
 
Mara ngapi, unapata choo?
Inaelekea unakitamani na una hamu sana na choo changu.
Nina choo cha kutosha .
Nitakuletea choo changu ukitafune, ukisukumia (kunywa) na uharo wangu. Ukimaliza utashiba na kufurahi.

Kwa mtindo wa jazba hii hamtashinda kura ng’ooooo. Mtabaki kutukana humu mpaka mtubie 😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…