CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli

Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo....
...... wengine wanakabiliwa na kesi mahakamani ambazo ama ni active au bado ziko njiani kama hiyo ya conspiracy ya kulipua vituo vya mafuta ambayo ni terrorism.
 
Kutakuwa kuna jambo, haiwezekani mtu kama Nyarandu akimbie aache mambo yake yote nyuma. Mimi nilihisi ni mambotu ya siasa za aupinzani ila huenda kuna jambo maana kuna mambo unaweza kuhisi hayatokei kumbe yanatokea.
Hamna Jambo lolote lile baya hawa Jamaa wameamua Tu kujidhalalisha
 
Mpo kwenye keyboard Tu kwenye field hamuonekani
Mimi binafsi field huwezi kuniona maana sio mwanasiasa na nina shughuli zangu nyingi zinanifanya niwe busy ili kila weekend nikalie stuli ndefu nikipiga charles glass!
Watu kama mimi ni tupo wengi ndio maana mtaona tunaendelea kuwapa somo hapa JF na kwingineko!
Maisha yanaendelea,au ulitakaje?
 
Nilitaka uingie field kama Lema !!!
 
...... wengine wanakabiliwa na kesi mahakamani ambazo ama ni active au bado ziko njiani kama hiyo ya conspiracy ya kulipua vituo vya mafuta ambayo ni terrorism.
Eti terrorism,shwain wangekuwa nje kwa dhamana?Ni wapi walioshtakiwa kwa ugaidi wanaachiwa kwa dhamana tena ndani ya muda mfupi?Angalia mashekhe wa uamsho,mwaka wa ngapi huu wako mahabusu?Ujinga mtupu!
 
Nilichofurahi ni kwamba kumbe wakipiga kelele huku wanavimbiwa wanajisahau dawa ni kuwanyima chakula ili mkimbie kimbie
Sheria inawataka bunge liwe na wabunge Wa upinzani ambao wanatakiwa kuongoza baadhi ya kamati za bunge,sasa hamkuwa na akili mmekuja shituka too late.manajinyeanyea sasa kuwalazimisha mtengeneze upinzani fake.
Kiujumla mnazidiwa akili nyie maccm.
 
Ni kweli Tanzania kwwnyebawamu hizi za maguduli sio salama kwa wanasiasa wa upinzani
 
Ili iweje?Kwa hizi maiti za Tanzania?No way,maisha matamu bhana na hela ninayo!Iweje nihatarishe maisha yangu kupigania maiti?
Tutaendelea kuwachapa hapa hapa JF na kwenye vijiwe vya kahawa!
Ukiingia vijiwe vya kahawa umeisha!!!
 
Sheria inawataka bunge liwe na wabunge Wa upinzani ambao wanatakiwa kuongoza baadhi ya kamati za bunge,sasa hamkuwa na akili mmekuja shituka too late.manajinyeanyea sasa kuwalazimisha mtengeneze upinzani fake.
Kiujumla mnazidiwa akili nyie maccm.
Viti maalum ni Kwa mujibu wa Sheria sio kwamba Mbowe kukosa ubunge ndio alete wivu wake
 

kama unaamua kukosoa,kosoa kwa lengo la kumrekebisha mkoseaji,kila mtu atakuunga mkono na ujumbe wako utazaa matunda.

tabia ya wapinzani,kupiga miruzi kibao isiyo na maana ndio imefanya wapoteze ushawishi wanaoutafuta kwa gharama saa hizi.

jf inasomwa sana na wahusika,tukosoe kwa lengo kujenga,sio kick.
 
Eti terrorism,shwain wangekuwa nje kwa dhamana?Ni wapi walioshtakiwa kwa ugaidi wanaachiwa kwa dhamana tena ndani ya muda mfupi?Angalia mashekhe wa uamsho,mwaka wa ngapi huu wako mahabusu?Ujinga mtupu!
Kwahiyo unakubali mashekhe wale walikuwa magaidi??
 
Madeni ya mikopo benki wamelipa??? Maana Ndungai alisema kuna ex-MPs wanadaiwa
 
Kwa miaka mitano yote walikuwa wanapinga huku wanapokea mishahara na marupurupu kibao SASA mbona baada ya kushindwa wameanza kuikimbia Nchi kulikoni???waje wajiajiri tu
Mmewashinda Kama mnavyoamini, sasa kwa nini tena mnawatishia kuwatoa roho!
Inaonyesha hamuamini kama mmewashinda mnataka kuwaangamiza kabisa.
 
kwa sasa lema kurudia kazi yake ya zamani ni ngumu hataweza hivyi kamua kujificha aibu kupitia njia zingine za ukimbizi.
 
Mtabaki peke yenu Wana kulaanika nyie.
Na hamfiki popote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…