Hawajashitakiwa kwa conspiring to commit terrorism kwa sababu uchunguzi bado unendelea.Eti terrorism,shwain wangekuwa nje kwa dhamana?Ni wapi walioshtakiwa kwa ugaidi wanaachiwa kwa dhamana tena ndani ya muda mfupi?Angalia mashekhe wa uamsho,mwaka wa ngapi huu wako mahabusu?Ujinga mtupu!
Hivi ni kweli unayoyaona na uliyoyaona kwenye uchaguzi wa mwaka huu ndiyo Tanzania unayoipenda unataka iwe hivi?Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1,kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2,kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3,ukweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Mbon umepanic wameamua wao ww yanakuuma. pambana na wabunge wako mambo ya chadema yaacheHamna Jambo lolote lile baya hawa Jamaa wameamua Tu kujidhalalisha
Sasa unabishana n mambosasa au?Eti terrorism,shwain wangekuwa nje kwa dhamana?Ni wapi walioshtakiwa kwa ugaidi wanaachiwa kwa dhamana tena ndani ya muda mfupi?Angalia mashekhe wa uamsho,mwaka wa ngapi huu wako mahabusu?Ujinga mtupu!
Ingekua vizuri kama ungeenda na wafuasi wako huko na msirudi tena hapa Tanzania.Niko isbania nchini kenya ninaelekea ubalozi wa Sweden kuomba hifadhi mimi na familia yangu
Wewe umeshaanza safari?Bora wakaishi na kula bure wakiwa watu huru kuliko kuishi nchi inayotaka kila mtu asifie na kuabudu Jiwe!
Utafurahia kuliona hilo likitokea??Magu ataishia kama wenzake akina Ghaddafi, Hussein Mubarak nk
Jitahidi kujenga hoja mkuu, kama huna hoja ni bora ukaficha ujinga wakoUmeandika pumbaaaaa
Mimi naomba viongozi wanaokimbia nchini na hasa yule mbelgiji, waondoke na wafuasi wao waende nao huko wanakoenda kama shetani alivyoondoka na kundi lake mbinguni.Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Hawa makamanda Utopolo kweli wao walituambia tuandamane,sasa wao ndio wa kwanza kukimbia,sisi tulishasema mnataka kutuletea fujo halafu nyie msepe kwa visingizio vya kitoto ili mkapate hifadhi huko Ulaya mnakimbia baada ya kuona zilemilioni za bungeni hamtazipata tena na maisha yanaanza kuwa magumu kwa hiyo mnataka kwenda kula pesa ya bure ya walipa kodi huko kwa mabeberu.Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Tokea sakata la Mo nimemdharau sana,au ulisahau mpaka JPM akasema watanzania sio wajinga baada ya kuona Mambosasa na mapichapicha yake yasioeleweka anacheza na akili za watz!Sasa unabishana n mambosasa au?
Hiyo ndiyo haki nitafurahi mno kuona inatokea.Utafurahia kuliona hilo likitokea??
Tayari nimeshaondoka, so endeleeni na ibada ya sanamu lenu!Wewe umeshaanza safari?
Ccm inasababisha uonekane hauna AKILI.
Ondokeni wote!Safari ndio zimeanza.wanaondoka wote bakini na nchi yenu