mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
ungejua naiona ccm,ungeacha mitazamo yako kwangu.
infact,ccm ni wezi,chadema ni matapeli.
Mwenye hekima na busara hawezi kufurahia nchi yake kuingia kwenye machafuko, ili apate haki yake. Libya wamepata haki yao baada ya kumuua mzee Gadafi??Hiyo ndiyo haki nitafurahi mno kuona inatokea.
Natumai umebeba na wafuasi wenzio hujaondoka peke yako.Tayari nimeshaondoka, so endeleeni na ibada ya sanamu lenu!
Mm nadhani wapinzani hasa chadema, cuf na act wazalendo ndio wamelaanika vibaya mpaka wengine humu wanatamani machafuko yatokee ili wapate haki yao.Mtabaki peke yenu Wana kulaanika nyie.
Na hamfiki popote .
Mbona Mbowe Hajakimbia na Biashara zake zimekuwa affected kama ulivyosemaMchana wanajifanya malaika kumbe usiku ni mashetani ,alichofanya Saabaya kwa Mbowe kuvamia hotel yake ndio uhuni unaoendelea kwa wapinzani nchi hii so wanabidi kujiongeza kupambania uhai wao
Libya wapo huru sasa na inasikitisha kwamba Tz inajumuishwa na nchi kama Libya, Somalia na nyinginezo tunaelekea siko kabisa siku hizi.Dishi limeyumba. Mwenye hekima na busara hawezi kufurahia nchi yake kuingia kwenye machafuko, ili apate haki yake. Libya wamepata haki yao baada ya kumuua mzee Gadafi??
Nyumbani ni nyumbani nyie chafueni taswira ya NCHI ila mtarudi tuu.Safari ndio zimeanza.wanaondoka wote bakini na nchi yenu
Fanya utafiti wa kutosha ndugu muandishi.Libya wapo huru sasa na inasikitisha kwamba Tz inajumuishwa na nchi kama Libya, Somalia na nyinginezo tunaelekea siko kabisa siku hizi.
Hata mwezi bado mmeanza kukimbia ikifika mwaka wote mtajisalimisha Tu
Sehemu kubwa ya wakenya wanatumiwa na wakoloni. Angalia, muingereza akisema ana lockdown na yeye ana lockdown. Muingereza akikaza masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona na yeye anafanya hivyohivyo, muingereza akilegeza masharti hayo na yeye anafanya hivyohivyo.Hawa wapuuzi wameshindwa uchaguzi, maandsmano yame buma watanzania wamestukia miradi yao ya kuwaandananisha . Sasa wamekuja na mradi wa ukimbizi.
Serikali ya Tanzania inatakiwa iwakoromee na kushughulika na baadhi ya Wakenya wanao washwawashwa na mambo ya Tanzania.
Kenya ni tatizo kwa Tanzania linalo fuka moshi na tusipowahi kama Taifa kuuzima huu moshi iko siku na haiko mbali moto utalipuka. Haiwezekani Kenya itumie NTv na wakina Lema/cdm kuchafua taswira ya Tanzania halafu tuinyamazie. Lasima tuwatie adabu ili wajifunze kujiheshimu na kiacha kuingilia mambo ya nchi nyengine.
Wanakimbia MIKOPO ndugu yangu walidhni watarudi Bungeni hivyo wangerudisha hiyo mikopo, sasa hawana mbinu mbadala wa kulipa mikopo.Kwa miaka mitano yote walikuwa wanapinga huku wanapokea mishahara na marupurupu kibao SASA mbona baada ya kushindwa wameanza kuikimbia Nchi kulikoni???waje wajiajiri tu
Umekuwa msemaji wao au ndiyo mafundisho ya wanajeshi wa kukodi kutoka Burundi?Wanakimbia MIKOPO ndugu yangu walidhni watarudi Bungeni hivyo wangerudisha hiyo mikopo, sasa hawana mbinu mbadala wa kulipa mikopo.
Hivi mkoloni alikodi jeshi kutoka Burundi kulazimisha uchaguzi Kenya ?Sehemu kubwa ya wakenya wanatumiwa na wakoloni. Angalia, muingereza akisema ana lockdown na yeye ana lockdown. Muingereza akikaza masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona na yeye anafanya hivyohivyo, muingereza akilegeza masharti hayo na yeye anafanya hivyohivyo.
Kamuulize mkoloni mwenyeweHivi mkoloni alikodi jeshi kutoka Burundi kulazimisha uchaguzi Kenya ?
Kamuulize mkoloni mwenyewe