Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Kumuita raisi wa Zanzibar mkoloni mweusi kunaashiria kuwa ww una tatizo la ubaguzi wa rangiMkoloni hayuko tena amebaki mkoloni mweusi wa Tanganyika aliyeivamia Zanzibar , huyu ndiye anayekodi majeshi kutoka Burundi
We pimbi tu. unaishi kwa shemeji Hakuna unalolijuaNi aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Unaota.Niko isbania nchini kenya ninaelekea ubalozi wa Sweden kuomba hifadhi mimi na familia yangu
Kumuita raisi wa Zanzibar mkoloni mweusi kunaashiria kuwa ww una tatizo la ubaguzi wa rangi
Unahitaji msaada, inaonekana una tatizo la ubaguzi wa rangi. Raisi wa Tanganyika angekua na rangi nyeupe ungesema mkoloni mweupe ameleta kibaraka wake??Mkoloni mweusi kaleta kibaraka wake kutoka Tanganyika huyo kwa kutumia jeshi lake na kukodi jeshi la Burundi
🤣🤣🤣🤣🤣Na wewe unaondoka Lini???
Hawa tunaowaona wanachanganya kiswahili na kifaransa wametoka Chato?SASA kama wewe utaelekezwa vipi Hadi uelewe???yaani Kwa Akili yako timamu Nchi kama Tanzania ikodi majeshi kutoka Burundi???
Unahitaji msaada, inaonekana una tatizo la ubaguzi wa rangi. Raisi wa Tanganyika angekua na rangi nyeupe ungesema mkoloni mweupe ameleta kibaraka wake??
Unahita kupona.
Kwani mimi nimewaleta hao majeshi ?Thibitisha
Nikuulize wewe labdaKwani Tanganyika imekuwa nchi ya wazungu vile?
Ndio umejibu swali?Nikuulize wewe labda
Waulize wenyewe, si uliongea nao??Hawa tunaowaona wanachanganya kiswahili na kifaransa wametoka Chato?
NdioNdio umejibu swali?
Ni uongo, nitajie Hawa wachache wako wapi;- Ben SaananeNi aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Yaani unakubali Tanganyika ni nchi ya wazungu?Ndio