CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli



Swala demokrasia sio la CHADEMA ni la nchi. Professor mmoja kasema vizuri siku hizi vijana ndiyo wajinga
 
Haramu yafaa kuliwa na maharamia pekee.
 
Angalifika kukodi jeshi la Burundi limsaidie kuiba kura na kuuwa watu abakie madarakani ??
Una ushahidi? Ulikuwepo wakati anakodisha hayo majeshi ya Burundi?Kama unao huo ushahidi, basi upeleke mahakamani.
 
Mnachekesha kweli,msitegemee mtapumua!Bado tutaendelea kuwanyoosha kwa miaka yote hii mitano!Sisi wapiga kura tuliochagua upinzani hatuwezi kuisha kamwe!Bado tuoo tupo sana!Naona tweet ya Magu akimpongeza Biden amepewa za uso ile mbaya!😁😁
 
Una ushahidi? Ulikuwepo wakati anakodisha hayo majeshi ya Burundi?Kama unao huo ushahidi, basi upeleke mahakamani.
Ushahidi njoo huku pemba utauona mwenyewe jeshini . Mahakama ya ya hawa majaji wanaogombea uraisi kwa tiketi ya CCM?
 
Ushahidi njoo huku pemba utauona mwenyewe jeshini . Mahakama ya ya hawa majaji wanaogombea uraisi kwa tiketi ya CCM?
Sasa kumbe tayari ushahidi unao. Upeleke huo ushahidi mahakamani sasa.
 
Huku ni kukosa UTU na UUNGWANA. Omba yasikukute wew mwenyewe au ndugu yako wa karibu
 
Hivi wengine mnaona sifa sana kwa nchi yetu kuondokewa na watanzania wenzetu???
 
Huko tumeshotoka ndugu ile Tanu ilikuwa kutafuta Uhuru wa Nchi dhidi ya wanyonyaji sasa TL anatafuta Uhuru upi?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…