CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli

Punguza jazba ndugu muandishi. Ulichokiandika hapo hakitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.

Litakupunguzia wewe kwa kumsifia Mvuta bangi wa Chato na mashuzi yake ??
 
Ya chadema yanakuhusu nini? Nyinyi endeleeni na Bunge lenu
 
Ujinga ni kipaji pia, huyo aliozikwa Zanzibar Jana chanzo ni nini ?!
 

Mtoto wa dada alisema safarii ni sindano ya sumu tu,Dc wa Arusha alipata cheo hio baada ya kutishia kumuua Zito na Mbowe akiwa uvccm Iringa clip zipo youtube plus matishio mengi ya kina musiba,waitara,bashite google utayapata,kila mtu anajua kuhusu wasiojulikana shughuli yao, so ulisubiria wawekwe kwenye viroba au!.Kukimbia nje ni mbinu za mapambano pia kukimbia ukupa nafasi ya kupambana tena ukiwa nje kuliko kubakia ndani ukutane na kifo utopambana tena sikiliza wimbo wa EXODUS wa Bob marley utaelewa
 
Kutakuwa kuna jambo, haiwezekani mtu kama Nyarandu akimbie aache mambo yake yote nyuma. Mimi nilihisi ni mambo tu ya siasa za upinzani ila huenda kuna jambo maana kuna mambo unaweza kuhisi hayatokei kumbe yanatokea.

Wasiojulikana wamerudi toka likizo
 
Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
Sidhani kama unajua ulichoandika ! Ni budi uwe unaacha mihemko ili uandike kitu kinachofanana na ukweli!
Sidhani kama hata unajua 'figusi za kura' zilivyokuwa!
Ni bora uache kuandika vitu unavyovitoa kichwani kwako pasipo kufikiri!
 
Litakupunguzia wewe kwa kumsifia Mvuta bangi wa Chato na mashuzi yake ??
Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Punguza jazba ndugu muandishi.
Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
 
Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Punguza jazba ndugu muandishi.
Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
Jazba kuliko aliyonayo huyo aliyeuwa watu ,unayemsifia mashuzi yake?
 
Jazba kuliko aliyonayo huyo aliyeuwa watu ,unayemsifia mashuzi yake ?
Punguza jazba. Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
 
Kwa miaka mitano yote walikuwa wanapinga huku wanapokea mishahara na marupurupu kibao SASA mbona baada ya kushindwa wameanza kuikimbia Nchi kulikoni???waje wajiajiri tu
Una uhakika walishindwa??????Gambo wa kushinda Arusha??
 
Punguza jazba. Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.

Punguza jaziba la kumsifia muuwaji wa Chato na mashuzi yake
 
Punguza jaziba la kumsifia muuwaji wa Chato na mashuzi yake
Jazba huwa haisifii bali huandika maneno uiyoandika kujibu post zangu.
Bado una jazba ambayo haitakusaidia kulitatua tatizo linalokusumbua.
 
Jazba huwa haisifii bali huandika maneno uiyoandika kujibu post zangu.
Bado una jazba ambayo haitakusaidia kulitatua tatizo linalokusumbua.
Punguza jazba ya kusifia mashuzi ya muuwaji wa Chato na majeshi yake ya kukodi ya Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…