CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli

Unapata choo ?
Wacha nikuache uendelee kuandika visivyotakiwa kuandikwa hapa.
Chizi akikuvua nguo kisha kukimbia na nguo zako usimkimbize. Ukimkimbiza, nyote mtaonekana machizi. Kwa heriiiii😊.
Ukitaka nikujibu swali lako njoo private.
 
Si useme tu kama unapata choo au la
 
Una akili timamu kweli? Yaani wewe ni kocha wa aina gani unataka wachezaji wote 11 wawe magolikipa
 
Unaogopa kitu gani , hapana askari wa Burundi hapa, tuambie kama unapata choo?
Nitakuogopaje wakati sikuoni? Kwa heri ndugu muandishi. Siwezi kuendelea kujibu post zako sababu ziko nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…