Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mwaka huu hutaficha masanduku ya kura usiku wa manane?View attachment 1569253View attachment 1569254Pambaneni na hali zenu tukutane sanduku la kura October 28.
Ila ww unawapangia wengine siyo? Jinga kweli ww!Usinipangie
Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura.
CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa dini, wenye magari wanaobeba wana CCM kwenda mikutanoni nk hao wote ni wapiga kura ambao CHADEMA inawaponda.
Lakini siku za karibuni wamekuja na gia ingine ya kuwaponda wasanii maarufu ambao wana ushawishi mkubwa mno kwa wapenzi wa kazi zao ambao wanazunguka na kufanya kampeni mikutano ya CCM.
CHADEMA wamekuwa wakiwaponda wakati hao ni wapiga kura. Badala ya ku win their hearts wawapigie kura wao wanaponda.
CHADEMA ukweli hawakujiandaa kugombea uraisi ikitakiwa mapema kabisa waanze ku-win hearts za makundi mbalimbali kwenye jamii yenye mvuto kwa jamii na yenye makundi makubwa na ushawishi yakiwemo wasanii, viongozi wa dini kubwa kubwa no lakini wapi.
Political strategy yao ya ku-win viongozi wa makundi ilistawi wakati wa Slaa na Lowassa tu hawa waliobaki hamna kitu yaani wanategemea tu kuokota kura za wapita njia mabarabarani.
Swala la ku win hearts of groups kwao halipo halafu wanategemea kushinda uraisi na ubunge na udiwani!
Kuponda wasanii ni kupoteza kura zao ndio maana CCM hata kwenye Ilani ya CCM tuna ilani ya kuwawezesha wasanii na kukuza usanii ipo kwenye ilani kabisa tofauti na vyama vingine ikiwemo CHADEMA ndio maana wasanii wanaipenda CCM inawajali kuwaheshimu na kwenye ilani na sera wasanii wamepewa nafasi.

Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa NigeriaKushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura.
CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa dini, wenye magari wanaobeba wana CCM kwenda mikutanoni nk hao wote ni wapiga kura ambao CHADEMA inawaponda.
Lakini siku za karibuni wamekuja na gia ingine ya kuwaponda wasanii maarufu ambao wana ushawishi mkubwa mno kwa wapenzi wa kazi zao ambao wanazunguka na kufanya kampeni mikutano ya CCM.
CHADEMA wamekuwa wakiwaponda wakati hao ni wapiga kura. Badala ya ku win their hearts wawapigie kura wao wanaponda.
CHADEMA ukweli hawakujiandaa kugombea uraisi ikitakiwa mapema kabisa waanze ku-win hearts za makundi mbalimbali kwenye jamii yenye mvuto kwa jamii na yenye makundi makubwa na ushawishi yakiwemo wasanii, viongozi wa dini kubwa kubwa no lakini wapi.
Political strategy yao ya ku-win viongozi wa makundi ilistawi wakati wa Slaa na Lowassa tu hawa waliobaki hamna kitu yaani wanategemea tu kuokota kura za wapita njia mabarabarani.
Swala la ku win hearts of groups kwao halipo halafu wanategemea kushinda uraisi na ubunge na udiwani!
Kuponda wasanii ni kupoteza kura zao ndio maana CCM hata kwenye Ilani ya CCM tuna ilani ya kuwawezesha wasanii na kukuza usanii ipo kwenye ilani kabisa tofauti na vyama vingine ikiwemo CHADEMA ndio maana wasanii wanaipenda CCM inawajali kuwaheshimu na kwenye ilani na sera wasanii wamepewa nafasi.
Hatutaki ushauri wa buku 7 ,.Nenda mkawapigie magoti wananchi wawape kura!Sugu awasugueTunawaelimisha wanachama wa CHADEMA waelewe chama chao kikishindwa uchaguzi waanze kujua sababu mapema jua linawaka.
Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi yao ni wengi kuliko hao papasi sijui wasanii, polisi, Jw na tumeccm uliowataja!Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura.