Uchaguzi 2020 CHADEMA kinavyozidi kupoteza kura, kimekuwa kikiwaponda wasanii wanaoburudisha kampeni za CCM wakati ni wapiga kura

Kwa kumbukumbu zangu mwenye uwezo wa kuingia kwenye mdahalo ni hayati Mkapa tu
 
Unatukanwa ujinga wao wakutumika ka taka na si wao...!!!
 
Nasikia leo kuna tamasha jingine la muziki Chato likiongozwa na m/kiti wa CCM.
 
Ulitakiwa ufurahi chadema kikinyimwa kura na hao unaowataja. Sasa ukiona mtu analialia wakati ni yeye mboga mboga ujue mambo magumu.
 
Wanapondwa au wanaambiwa ukweli.Ule ni ukweli ili waelimike wabadilike,sio watumike ovyo ovyo kwa njaa za muda mfupi alafu waje walalamike nakuishi maisha ya shida miaka mitano.
 
”Kuponda wasanii ni kupoteza kura zao ndio maana CCM hata kwenye Ilani ya CCM tuna ilani ya kuwawezesha wasanii na kukuza usanii ipo kwenye ilani kabisa tofauti na vyama vingine ikiwemo CHADEMA ndio maana wasanii wanaipenda CCM inawajali kuwaheshimu na kwenye ilani na sera wasanii wamepewa nafasi.” YEHODAYA

Kama ni hivyo basi, mmefanya lipi kuwawezesha wasanii?

Mnatake advantage ya ujinga na umaskini wa Watanzania kufurika kutazama tamasha la bure, hakuna mtu timamu atashawishika kuwapigia kura kisa mmemletea wasanii.

Ukweli ni kwamba tunajua wasanii sio kama wanakipenda chama, ila wamelipwa kidogo pamoja na kutiwa hofu ikiwa wataonekana wapo kinyume... wana familia zao na hawajasahau kilichomkuta Roma na wenzake.

Ujinga na umaskini wa Watanzania ni turufu kwa mbogamboga, ndiyo sababu hakuna juhudi za makusudi kuboresha maeneo hayo.

Hadi pale usiku utapokwisha.
 
SASA kama wanatukana hao nyie si muwaache wakose kura ili iwe furaha ??kwanini mnawastua tena??
 

Tuseme umejitolea au umefungwa na pole pole kuja kuwagutua ili wawashinde Oct 28?

Kweli mchawi msibani hulia kuliko wafiwa.
 
Uharo mtupu huu, kajifunze kujenga hoja na sio kuharisha harisha tu ovyo ovyo.

Unamshauri nini aliyewaponda wanawake weusi, idadi yao ukiilinganisha na wasanii ni akina nani wengi??, ushauri huu unamfaa baba j zaidi

 
Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa Nigeria
 
Bora hao CDM wameishia kuwaponda mimi nimeacha kabisa kuwa follow kuaikiliza nyimbo zao .wasafi tv nasikiliza sports arena tu japo ni Simba sisomi post za kiitikadi za manyara .
Yaani hao wasanii kwangu wamekufa thamani lady jay dee ananitosha na Alhamdulillah ananipatia burudani
 
Mleta post acha kujitoa akili,hao siyo wasanii Bali ni waigizaji
Hujui kutofautisha,Kati ya msanii na muigizaji.
 
Tunawaelimisha wanachama wa CHADEMA waelewe chama chao kikishindwa uchaguzi waanze kujua sababu mapema jua linawaka.
Hatutaki ushauri wa buku 7 ,.Nenda mkawapigie magoti wananchi wawape kura!Sugu awasugue
 
Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi yao ni wengi kuliko hao papasi sijui wasanii, polisi, Jw na tumeccm uliowataja!
Hatutaki kura hata moja ya hao wasanii njaa, polis, jeshi wala NECccm.
Magu na timu yake ya wezi na mafisadi hawakubaliki na Watanzania, kwanini mnalazimisha????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…