Uchaguzi 2020 CHADEMA kinavyozidi kupoteza kura, kimekuwa kikiwaponda wasanii wanaoburudisha kampeni za CCM wakati ni wapiga kura

Vyote vinafanywa huoni kwenye mikutano burudani kibao na sera zinamwagwa.Tunaanza na burudani Halafu tunamwaga sera Halafu tukimaliza sera tunamwaga burudani watu waburudike na sera.

Burudani na sera bega kwa bega
Mbona watu wanawakimbia baada ya hao wasanii
 
Unataka kusema/Umesema.

CHADEMA kupitia mgombea wao T.Lissu wanategemea kura za wapita njia barabarani??

Inachekesha sana, Japo ndio uhalisia.
 
BURUDIKA KIDOGO UMEZE MATE

Ukitaka kujua kuwa CCM hampendwi angalia hii thread yako tangu uanzishe hakuna comment ya kukusapoti zote zimekupinga na Buku 7 wenzako wameshachoka !umebaki wewe tu

Jingalao yuko wapi?
Bia yetu yuko wapi?
Wakudadavua je?
Philipo Bukililo wapi?
Paschal Mayala
Kawe yetu?
 
Wasubiri huu upepo wa uchaguzi upite waanze kuonja joto ya jiwe. Maana wasanii wamejisahau kwamba wapenzi na mashabiki wao ni watu wote na sio kuwadharau wapinzani.
Waliko peleka mboga wata kula huko huko.
 
Huwa suipost kutafuta like au support napost kile roho inapenda
 
Tundu Lissu anahubiri haki, uhuru na maendeleo kwa wote bila kubagua kundi lolote la kijamii wakiwamo hao wasanii ambao sasa hivi ni mateka wa kisiasa (political captives) chini ya CCM MATAGA.

wasanii nao wanatamani sana kuwa huru but wamekosa pa kusemea... sasa Lissu kawaahidi uhuru so nao wameahidi kimyakimya watampa kura za mafuriko.

huoni hadi aliyejiita jiwe sasa hivi anatembelea magoti kulilia apigiwe kura?
 
Hongera kwa unafiki.wewe ndio wa kuwatakia chadema kura nyingi wakati unatamani hata kifutwe? Kwani hao wasanii ni kurangapu
 
Kwanza wewe nimuongo uhuru haki namaendeleo yawatu haibagui shughuli zawatu nawasanii wakiwemo wasanii Kwani kati ya wasanii na wanawake weusi wawapi wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…