Chadema kinawasaliti Watanzania katika swala la bandari.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani,but they are abdicating their responsibility. Ni kazi yao kuwakaribisha watu wote wanaoipinga serikali. Sasa inawakuwaje Sauti ya Watanganyika inawataka wadhamini mkutano wao,Chadema haitaki kuhusika?

Siyo kila mtu anataka DP World wapewe bandari zetu.

Kwa hiyo Chadema wanapaswa huhost mikutano ya Sauti ya Watanganyola. They don't have to speak nothing.
Hata Uingereza,Mwalimu Nyerere anasema kulikuwa na ubishi mkubwa walipotaka kuanzisha vyama vya upinzani,kwa sababu mfalme slikuwa anapinga kuwepo vyama vya upinzani.

Halafu,Mwalimu Nyerere akasema,mfalme akaamua kwamba ataruhusu upinzani. Like chama cha upinzani kitaitwa "His Majesty's Oppsition Party."

Kwa hiyo Chadema iwe umbrella party kwa mtu yoyote anayepinga serikali.

Kwa sababu Naina jspa watu wanapeana hela nyingi supposedly,wanataka kusheherekea kumuenzi Mwalimu Nyerere,and elbowing other people aside.
 
Wewe unafikiri kazi ya chama cha upizani ni kupinga tu kila kitu, kwa hilo suala la bandari chadema kaona ukweli na kasha kubaliana na serikali, mbowe alijifunza aina gani wa Tanzania walivyo kwa miezi 9 iko jela hamna mndamano yoyote ya kumpigania atoke, yeye na familia yake ndo waliteseka kwahiyo hawezi kujitowa muanga tena kwa wstu kama sisi.......nyie komeni na mdudu chadema wenu
 
Mbowe ndiyo anapata wakati mgumu kumsema Samia! Issue hapa ni kuchaganya biashara na siasa unashundwa kuwa huru ukihofia kupoteza biashara zako
 
Kumbuka mbowe ana familia anahitaji kujikunsanyia pesa pia, Raisi hu kampa uhuru wa biashara , tena biashara zingine za mbowe ziko dubai huenda hata kwenye DP wold ni ref wao au stakeholder wao, usichezee na siasa za kiafrica zimejaa unafiki mtupu.
 
Mmhh nakubaliana nawe haya yanawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom