CHADEMA kitengo cha habari amkeni. Picha za kuraruliwa na mbwa zingetuma powerful message dunia nzima

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,781
Reaction score
2,079
images

Zilitumika South Afrika na Marekani na kusaidia kuiambia dunia unyama uliokuwa unaendelea.

Watu wameumwa na mbwa Kisutu, wako kwenye sindano za siku tano za kichaa cha mbwa.

Vyombo binafsi hawana uwezo au nia ya ku cover human rights and civil rights movement za Watanzania. Wanadhani vikao vya CCM na habari za serikali ni content kubwa kuliko civil and human rights movement za nchi.

Tunakwendaje mahakamni bila waandishi wetu tukijua tutasakiziwa mbwa na tunaweza kuuliwa bila rekodi ??
 
Serikali ya CCM inaua yeyote, hata mwandishi wa habari asiyekuwa upande wao. Mafiosos!
 
Hawa mbwa Wao nitakuja kuwaua siku moja.

Nitwanywesha sumu.

Ngoja Tu.
 
images

Zilitumika South Afrika na Marekani na kusaidia kuiambia dunia unyama uliokuwa unaendelea.

Watu wameumwa na mbwa Kisutu, wako kwenye sindano za siku tano za kichaa cha mbwa.

Vyombo binafsi hawana uwezo au nia ya ku cover human rights and civil rights movement za Watanzania. Wanadhani vikao vya CCM na habari za serikali ni content kubwa kuliko civil and human rights movement za nchi.

Tunakwendaje mahakamni bila waandishi wetu tukijua tutasakiziwa mbwa na tunaweza kuuliwa bila rekodi ??

Hawa jamaa hawana intelijensia nzuri .

Kuna spy camera zipo .
kuna spy pen camera ,kuna vifungo vya mashati vina kamera , kuna mpaka kofia za kamera ,
bado karne hii mtu anategemea kamera ya simu na shooting camera kwa misafara ya viongozi na ofisi za chama.

Yaani matukio ya kinyama kama hayo yanatakiwa yawekwe kwenye kumbukumbu.

Any way tafuteni wazee wetu wa kiafrika muwape pesa za kununua kondoo wa kutambikia mizimu ya wazee wetu waliouawa na wazungu na leo waliowapigania uhuru wamekua wanyama na wabinafsi kuliko wazungu.

Wapo wazee wenye uwezo wa kufanya malipizi kwa damu zisizo na hatia
 
Back
Top Bottom