Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,781
- 2,079
Zilitumika South Afrika na Marekani na kusaidia kuiambia dunia unyama uliokuwa unaendelea.
Watu wameumwa na mbwa Kisutu, wako kwenye sindano za siku tano za kichaa cha mbwa.
Vyombo binafsi hawana uwezo au nia ya ku cover human rights and civil rights movement za Watanzania. Wanadhani vikao vya CCM na habari za serikali ni content kubwa kuliko civil and human rights movement za nchi.
Tunakwendaje mahakamni bila waandishi wetu tukijua tutasakiziwa mbwa na tunaweza kuuliwa bila rekodi ??