Hili kitengo Blender Rupia alikuwa ameanza vizuriHivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua mnavyowakwaza wanachama wenu kukosa habari na updates za kesi in real time? Ni kweli mwenyekiti kesi imeahirishwa siku zaidi ya 166 na imeanza tena hamjajipanga kuupa umma updates?
Acheni hizi aibu ndogo ndogo wakubwa, mnawapa wapinzani wenu points zingine bure tu na huu ni uzembe kwa kila aina ya lugha!. Povu ruksa
tungu lini wana kitengo kama hicho wakati kwao kila mtu ni msemaji?🐒Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua mnavyowakwaza wanachama wenu kukosa habari na updates za kesi in real time? Ni kweli mwenyekiti kesi imeahirishwa siku zaidi ya 166 na imeanza tena hamjajipanga kuupa umma updates?
Acheni hizi aibu ndogo ndogo wakubwa, mnawapa wapinzani wenu points zingine bure tu na huu ni uzembe kwa kila aina ya lugha!. Povu ruksa