Tetesi: CHADEMA kuandaa mkutano mkubwa wa hadhara kwa ajili ya kutangaza msamaha kwa Mdee na wenzake

Wakiomba msamaha wakasamehewa na chama kikapeleka majina mengine tofauti na hao Kuna tatizo Gani?

Au ikiteua baadhi ya waliomo na kuwaacha baadhi Kuna tatz Gani,

Kusamehe aliyeomba msamaha Kuna tatz Gani?
 
Covid 19 hawajawahi kuomba msamaha watasamehewaje. Kumbuka kamati kuu iliwafukuza na barakuu likawafukuza pia. Sasa msamaha lazima uanzie kamati kuu uje baraza kuu.
Kuna mmoja pale mahakamani aliomba kesi ikamaliziwe nje ya mahakama.
 
Mwongoooo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sukuma gang mnahaha sana, your wishful thinking ni kwamba mamluki hao Covid-19 na hata mamluki Wilboard Slaa mnatamani waingie CDM ili kiwe na matundu ya kuweza kuwavuga kirahisi, sina uhakika uamuzi wao utakuwa vipi lakini wakiwakubali litakuwa ni kosa kubwa la kiufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…