Pre GE2025 CHADEMA kuanika hadharani nyaraka za Maridhiano zilizowakimbiza CCM, lengo ni kuiumbua mbele ya Umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usinilishe maneno
Mimi naongelea nchi masikini
Sisi ni matajiri
Kwani kukubali ni kulishwa maneno, mbona ripoti ya CAG iko wazi kwani wahusika wakuu ni CCM na ndio wanaokataa kuijadili huku sisi wenye hela zetu tukiufyata mkia!
 
View attachment 2872561

Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani.

Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho John Heche, aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya Maridhiano.

Lengo la Jambo hilo Muhimu ni kuwezesha wananchi wote kujua kila kilichozungumzwa kwenye maridhiano hayo na kupima wenyewe utapeli wa ccm, lengo lingine kabambe ni kuhakikisha Viongozi wa CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa Taifa WANAUMBUKA MBELE YA JAMII YA WATANZANIA KWA KUKWEPA HAKI NA KUKUMBATIA DHULUMA

Usithubutu kuondoka JF, Kama kawaida yetu tutakuwekea Uhondo wote hapa hapa katika mfumo ule ule wa kizuri kula na nduguyo.
Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".

Tuliona kesi za wana CDM zikifutwa kwenye Mahakama mbalilmbali, tuliona waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium wakirudi nchini, tuliona mikutano ya kisiasa ikirudi na ruzuku mkipokea

Sasa unaposema maridhiano hayakuwahi kutokea una maana gani?. Yaani bado tupo enzi za DIKTETA wa Chato?

Tuwe wakweli, mara nyingine CDM mnadhani muna UMUHIMU kuliko Watanzania wengine
 
View attachment 2872561

Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani.

Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho John Heche, aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya Maridhiano.

Lengo la Jambo hilo Muhimu ni kuwezesha wananchi wote kujua kila kilichozungumzwa kwenye maridhiano hayo na kupima wenyewe utapeli wa ccm, lengo lingine kabambe ni kuhakikisha Viongozi wa CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa Taifa WANAUMBUKA MBELE YA JAMII YA WATANZANIA KWA KUKWEPA HAKI NA KUKUMBATIA DHULUMA

Usithubutu kuondoka JF, Kama kawaida yetu tutakuwekea Uhondo wote hapa hapa katika mfumo ule ule wa kizuri kula na nduguyo.
Kikundi cha wahuni tuu.
Wapenda damu
 
Back
Top Bottom