Pre GE2025 CHADEMA kuanika hadharani nyaraka za Maridhiano zilizowakimbiza CCM, lengo ni kuiumbua mbele ya Umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usinilishe maneno
Mimi naongelea nchi masikini
Sisi ni matajiri
Kwani kukubali ni kulishwa maneno, mbona ripoti ya CAG iko wazi kwani wahusika wakuu ni CCM na ndio wanaokataa kuijadili huku sisi wenye hela zetu tukiufyata mkia!
 
Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".

Tuliona kesi za wana CDM zikifutwa kwenye Mahakama mbalilmbali, tuliona waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium wakirudi nchini, tuliona mikutano ya kisiasa ikirudi na ruzuku mkipokea

Sasa unaposema maridhiano hayakuwahi kutokea una maana gani?. Yaani bado tupo enzi za DIKTETA wa Chato?

Tuwe wakweli, mara nyingine CDM mnadhani muna UMUHIMU kuliko Watanzania wengine
 
Kikundi cha wahuni tuu.
Wapenda damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…